kwahiyo matiti yake ndio zile kolodani?
Minajiuliza, kwanini hajaweka ya white then kaweka ya blackman!?
Kweli weusi tunadharaulika....
!!
ya mzungu haina dili
kwahiyo matiti yake ndio zile kolodani?
Ingekuwa mwanaume ndio kavaa nguo inayoonyesha maumbile ya mwanamke dunia nzima ingepiga kelele ati ni udhalilishaji i am sure wanawake mpk wangeandamana but since ni wanaume ndio wanaodhalilishwa wao wamejinyamazia. I think huyu binti kama si laana basi ni bangi ndio zinafanya kazi kichwani kwake
Mkuu nilivyoona hiyo picha binafsi nimecheka bila kudetect issue ya uzalilishaji ..lakini ulichokiongea ni kweli kabisa ,huu ni udhalilishaji wa kijiinsia . Wanawake tukicheka nao watakuja kutupanda kichwani kupitia wanachokiita Haki za wanawake na Usawa wa kijinsia .,wakati wao wanatete haki zao basi ndio inawapa fursa ya kugandamiza Haki zetu .
Si vyema Kabisa.
mleta mada au dizaina yeyote anaejua anijibuHa hah unamuuliza nani sasa?