Lady gaga na uume fashion

Lady gaga na uume fashion

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,468
Reaction score
20,881
Huyu mwanamke ni taahira aise
 

Attachments

  • 1408561172043.jpg
    1408561172043.jpg
    19.3 KB · Views: 2,800
mmmmh kwel kila chizi ana balaa lake wengne waokota makopo yye anatembea na dushelele
 
Hivi huyu Dada atakuwa anatumia kilevi gani!!!?
 
Huyu dada ana mashetani mitindo yake mara nguo iliyotengenezwa kwa nyama
 
Hilo linaitwa BBC, sijui mwenye hiyo picha kapewa bei gani, labda $ 1,500 tu watu wanalitembeza dunia nzima. Tuache kupenda hela ka njia ya mkato.
 
hahhahahahah kanifurahisha mie... pata picha unakutana na mdada njiani na ye kajipiga hiyo, kumtokea inahitaji moyo wa chuma!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom