Mimi sijakuelewa, umetuhadithia ili tujue wanawake ni wajanja, au unataka uambiwe ukamgegede vipi? Kwa maana maswali uliyoyauliza kwenye mwisho wa hadithi yako umeshajijibu mwenyewe kwenye heading ya thread yako. Wazo kuu la hii thread yako ilikuwa ni nini hasa?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Acha ushamba wewe nenda kapige show unataka uelezwe vipi?vile vile wewe unaonakana sitki nataka mara umsifie demu kaumbika mara unataka ushauri piga show mwanaumeeee
Aisee hii imenitoa kijasho chembamba, na sikuitegemea,
Je huyu dada si ananiweka katika majaribu???????, Mnaonaje, au anataka kunionyesha tu, na hakuna linguine zaidi???????
Au avae aende nayo ofisini peke yake bila guo nyingine ili na wengine waone ilivyompendeza.mwambie aivae apige picha then atakuletea picha, kama shida yake ni kukuonyesha angalia picha , c kila mtego unase hata kama umeuona
thankyouMkulu
Kama kuna avatar nimetokea kuzipenda ni yako...wikiendi njema