Ladies: Your are very trick when hunting for Men

Chimps

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
559
Reaction score
356
Aisee hii imenitoa kijasho chembamba, na sikuitegemea,

Ofcn kwetu kuna dada kaumbika kwelikweli na mke wa mtu ( wanaishi ila hawajafunga ndoa), tumezoeana kwa wingi wa utani na huwa ananiita mzee wa viwango kwasababu anajua mademu ninao wazimia (ila siwachukui, nawasifia tu, maana mm nimeoa) huwa anawakubali sana. Anapenda kunishauri sana kuhusu maisha na mambo mengine na mimi pia namshauri.
Kuna siku nilimuudhi my wife, siku hiyo nikawa na mawazo sana maana niliona nimemkosea mke wangu.

Yule dada akaja kunijulia khali maana aliniona nimepoa sana. Nikamwambia nimemkosea mke wangu na hapa nawaza nimpelekee zawadi gani ili aweze kunisamehe. Akaniambia hiyo ni rahisi sana. Tulipotoka kazini jioni akanipeleka maduka Fulani ambayo yanauza zawadi za kila aina. Nilinunua zawadi za wife, wakati tunataka kuondoka hapo dukani akaona CHU..P. akaniambia anazipenda sana ila hana ela ya kutosha. Kidume nikazama kwa wallet, nikachomoa noti nikazilipia. Tumerudi ameshika njia ya kwao na mimi nikasepa kwetu.

Msala wangu na wife ukaisha vizuri tu. After two days akaja kunishukuru kwamba zile Pichu zinamuenea vizuri na zinampendeza. Mimi nikamshukuru pia kwa kunichagulia zawadi nzuri za wife wangu, then nikampotezea.
Sasa leo yamenikuta, katika kutaniana kama kawaida, kaibuka na usemi ambao ameutaja ila nimeshtuka na yeye kashtuka ila naona anaendelea kurudia kila tukianza maongezi. Anasema hivi “ Best zile pichu zilinipendeza sana, sasa utaziona lini ili ushuhudie mwenyewe nikiwa nimevaa????”, Leo pia kanifunulia kitop kidogo ili nione, ila nikamzuia kwa kuwa tuko ofcn.

Je huyu dada si ananiweka katika majaribu???????, Mnaonaje, au anataka kunionyesha tu, na hakuna linguine zaidi???????
 
Mimi sijakuelewa, umetuhadithia ili tujue wanawake ni wajanja, au unataka uambiwe ukamgegede vipi? Kwa maana maswali uliyoyauliza kwenye mwisho wa hadithi yako umeshajijibu mwenyewe kwenye heading ya thread yako. Wazo kuu la hii thread yako ilikuwa ni nini hasa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sasa leo yamenikuta, katika kutaniana kama kawaida, kaibuka na usemi ambao ameutaja ila nimeshtuka na yeye kashtuka ila naona anaendelea kurudia kila tukianza maongezi. Anasema hivi " Best zile pichu zilinipendeza sana, sasa utaziona lini ili ushuhudie mwenyewe nikiwa nimevaa????", Leo pia kanifunulia kitop kidogo ili nione, ila nikamzuia kwa kuwa tuko ofcn.

Je huyu dada si ananiweka katika majaribu???????, Mnaonaje, au anataka kunionyesha tu, na hakuna linguine zaidi???????

Mmmhhhhh!!!!!
 
Mimi sijakuelewa, umetuhadithia ili tujue wanawake ni wajanja, au unataka uambiwe ukamgegede vipi? Kwa maana maswali uliyoyauliza kwenye mwisho wa hadithi yako umeshajijibu mwenyewe kwenye heading ya thread yako. Wazo kuu la hii thread yako ilikuwa ni nini hasa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

ukimaliza kusoma hadithi na kama umeielewa unatakiwa kutafakari. Sasa wewe umetafakari nn?
 
mwambie aivae apige picha then atakuletea picha, kama shida yake ni kukuonyesha angalia picha , c kila mtego unase hata kama umeuona
 
Aisee hii imenitoa kijasho chembamba, na sikuitegemea,

Ofcn kwetu kuna dada kaumbika kwelikweli na mke wa mtu ( wanaishi ila hawajafunga ndoa), tumezoeana kwa wingi wa utani na huwa ananiita mzee wa viwango kwasababu anajua mademu ninao wazimia (ila siwachukui, nawasifia tu, maana mm nimeoa) huwa anawakubali sana. Anapenda kunishauri sana kuhusu maisha na mambo mengine na mimi pia namshauri.
Kuna siku nilimuudhi my wife, siku hiyo nikawa na mawazo sana maana niliona nimemkosea mke wangu.

Yule dada akaja kunijulia khali maana aliniona nimepoa sana. Nikamwambia nimemkosea mke wangu na hapa nawaza nimpelekee zawadi gani ili aweze kunisamehe. Akaniambia hiyo ni rahisi sana. Tulipotoka kazini jioni akanipeleka maduka Fulani ambayo yanauza zawadi za kila aina. Nilinunua zawadi za wife, wakati tunataka kuondoka hapo dukani akaona CHU..P. akaniambia anazipenda sana ila hana ela ya kutosha. Kidume nikazama kwa wallet, nikachomoa noti nikazilipia. Tumerudi ameshika njia ya kwao na mimi nikasepa kwetu.

Msala wangu na wife ukaisha vizuri tu. After two days akaja kunishukuru kwamba zile Pichu zinamuenea vizuri na zinampendeza. Mimi nikamshukuru pia kwa kunichagulia zawadi nzuri za wife wangu, then nikampotezea.
Sasa leo yamenikuta, katika kutaniana kama kawaida, kaibuka na usemi ambao ameutaja ila nimeshtuka na yeye kashtuka ila naona anaendelea kurudia kila tukianza maongezi. Anasema hivi “ Best zile pichu zilinipendeza sana, sasa utaziona lini ili ushuhudie mwenyewe nikiwa nimevaa????”, Leo pia kanifunulia kitop kidogo ili nione, ila nikamzuia kwa kuwa tuko ofcn.

Je huyu dada si ananiweka katika majaribu???????, Mnaonaje, au anataka kunionyesha tu, na hakuna linguine zaidi???????

By Shori
Kuwa makini ndoa yako itaingia matatani.
 
mwambie aivae apige picha then atakuletea picha, kama shida yake ni kukuonyesha angalia picha , c kila mtego unase hata kama umeuona

Asante mkuu kwa mawazo mazuri, sikuwa nimelifikilia hilo, sasa ngoma ni pale atakapogoma
 
Tumia akili zaidi kaka,sio lazima unase ktk kila mtego....kama umeshamshtkia uyo bidada kaa nae mbali cuz anaweza kuitia ndoano yako matatani,wakati mwingine ni vizuri zaidi kulikimbia tatizo
 
Acha ushamba wewe nenda kapige show unataka uelezwe vipi?vile vile wewe unaonakana sitki nataka mara umsifie demu kaumbika mara unataka ushauri piga show mwanaumeeee
 
Hizo dalili za us-g........! Kaka kaza buti ukamalizane na huyo dada.., kawaida hauwezi kumnunulia pichu n then akavalishwe na mwingine!
 
Nyie vijana dot com vipi???? Hivi unataka akuambie vipi ili uelewe anachokitaka.... kamtimizie haja ya moyo wake huyo binti haraka zaidi ya mshale!!!!
 
"You are" "your are" wewe huoni ka-tofauti hapo ndugu yangu?

Si ajabu ana degree. Sasa sisi tusiokuwa na hata certificate sijui tuandike vipi! Kweli dunia uwanja wa fujo.

Back
Top Bottom