Ladies..u rejected him when he had nothing..

Weeeee usitufananishe na shetani......Mungu hapendi tuteseke ila kwa kuwa hatumshirikishi pale tunapotaka kuanza mahusiano mwisho wa siku ndo tunajikuta tunateseka
Hahaa ushawai kuchaguliwa mchumba?
Wamekutongoza wangap?
Kwanini ulimkubalia fulan?
Ungesubiri ndoa je?

Apo ndo utajua nyie kina nani ndo mana bikra adim

rap beast
 
Weeeee usitufananishe na shetani......Mungu hapendi tuteseke ila kwa kuwa hatumshirikishi pale tunapotaka kuanza mahusiano mwisho wa siku ndo tunajikuta tunateseka
Kwani mnamshirikishaga Mungu nyie? Si mnaangaliaga yule mwenye gari nzuri, shoping za nguvu na starehe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa ushawai kuchaguliwa mchumba?
Wamekutongoza wangap?
Kwanini ulimkubalia fulan?
Ungesubiri ndoa je?

Apo ndo utajua nyie kina nani ndo mana bikra adim

rap beast
Sijawahi kuchaguliwa mtu ila najua Mungu ameniandalia mume bora kuliko hao waliopita
 
Sijawahi kuchaguliwa mtu ila najua Mungu ameniandalia mume bora kuliko hao waliopita
Shida ni pale mungu alipowapa bikra muitunze mpka siku ya ndoa mumtunuku mume kama zawadi....na nyie mkaviachia kwa john kisa alikua sharobaro[emoji23] [emoji23] [emoji23]

rap beast
 
Nafuu mkataliwe tu unakaa na mtu ana shida akishazipata anazitumbua na mwingine..mxieeew

love thé love or hâte thé love.....
 
Na ndo maana nikasema mara nyingi tunapoanza mahusiano uwa hatumshirikishi Mungu ila kama tungekuwa tunamshirikisha haya yote yasingekuwa yanatokea
Sasa unadhani utajilinda vipi na ile laana inayotokana na maumivu ya yule uliyemnyanyapaa kisa hana kipato chake siyo kikubwa? Nawe jiandae na maumivu ndugu "What goes around comea around"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni pale mungu alipowapa bikra muitunze mpka siku ya ndoa mumtunuku mume kama zawadi....na nyie mkaviachia kwa john kisa alikua sharobaro[emoji23] [emoji23] [emoji23]

rap beast
Nyie mnaweza kuvumilia mpaka harusi?
 
This is typically what happened to me, i was having a galfriend, who was pursuing a three years degree programme while i was having a heavy duty four years engineering degree programme,after she has graduated,4 months later she rejected me,
It was in the midst of tests and assignments ooooh ohhhh it was hard to me,the reason of being rejected so similar as the thread owner xplained.
Today is the 2nd yr since i got married and the rejecter is always crying over my desicion, she is now single and anavunga ameokoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So called Love haina formula ata sis tukifanikiwa sometimes tunawakata ma binti tulioanza nao from bottom.....
Note. Kusema sis haimaanishi na mm na tabia iyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi ndiyo huwa wanamrudia mungu kwa gia ya kuokoka, lakini ile laana huwa bado inamzunguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana mnajua ku-"compile" matukio ya kimaisha!
Kwa hiyo huyu bidada katika picha analia na kujutia "yaliyopita sindwele"!
Lakini mimi hudhani ni maumbile ya kidunia.
Maana hata ufundeje! Hawasikii na hawajifunzi, wanapenda zaidi pesa.
Mtu kama huyo kumrudisha kwenye mstari ni ngumu.
Sasa naye wa ajabu!
Aliunganishwa akaingia kingi kuwa best wa bi harusi wa hawara yake!
Wengi wapo kama huyu na hawajifunzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…