Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,152
- 137,154
- Thread starter
-
- #121
unajua wakati nilipoipata ile message nisingeweza kuiwasilisha kwani ningeweza kujiletea mgongano wa kimaslahi...
Mmhhh....Mwanakijiji bana...kwa hiyo ukaibania kwa makusudi.....Lol......haya bana
Yaani, Mimi nilifikiri umepata msg ukanitolea nje, maana katika mazungumzo na mkj alisema unataka picture na nikamtumia na hiyo ilikuwa mwaka jana mwanzoni, sikujua kumbe naye alikuwa na interest zake. Hamna wa kumuamini dunia ya leo na natumaini usingeweka hili bandiko
maana huko visiwani tungekuwa tumeshavinjari siku nyingi labda kwenda tu kukumbushia. Asalaleeee mwanakijiji - sijui utakuja kwa shairi gani maana hujambo. Alianza mara ngabu sikuhizi kabanwa na cup ............ lol.
Mimi sikujishindia date na NN kwa sasa nilikuwa Over qualified!
Vigezo vyote nilivipita kwa speed ya upopo...... Nilichokipita kidogo ni cha urefu tu! Since I stand at 5-5
NN nyanyua vigezo or else tutaona shindano ni la first division na sio premier league
Halo halo halo.I wish kama ningekuwa mdada ningeshiriki kwenye hili shindano..Shindano linahusu nini?likoje?
mmh aya makubwa tena........sasa mshindi atapatiwa nini?Baadhi ya sifa nmezitaja hapo juu na naongeza nyingine hapa.
Wanatakiwa wawe na
-Uwezo mzuri wa kujieleza
-Kujua kuandika bila makosa ya herufi
-Wajue kuzungumza Kiswahili fasaha na sanifu (Kiingereza kitafikiriwa pia)
-Wawe wenye upendo, ucheshi, na msingi mzuri wa maadili
mmh aya makubwa tena........sasa mshindi atapatiwa nini?
mambo ya GPA imekua naniii kwan?
kwan we bado unapima uelewa na akili za mtu kwa GPA?
izo mambo za nyirabu na kamata na dr bana ebu achana nazo .mtu apimwi kwa GPA bwana...........
afta lo i want to know ili shindano ni lanini asa?
b4 sijatuma maombi na GPA yangu ya 1.7:eyeroll2:
Ulikuwa over qualified kivipi? What was your GPA? Did you make the dean's list even once? Are cum laude, magna cum laude, or summa cum laude?
Unaongea Kiswahili sanifu na fasaha?
Ngabu U r so full of yourself.. LOL she will have to bring her certificate as well.. is it a date or a job interview? talking about a date I thought u need to adopt humor to deflect personal question. If u r bombarding them with those questions, (which of course gonna put them on the defensive), I doubt any woman would wanna date you. Women prefer smooth, easygoing conversation to be honest...Ulikuwa over qualified kivipi? What was your GPA? Did you make the dean's list even once? Are cum laude, magna cum laude, or summa cum laude?
Unaongea Kiswahili sanifu na fasaha?
Ngabu U r so full of yourself.. LOL she will have to bring her certificate as well.. is it a date or a job interview? talking about a date I thought u need to adopt humor to deflect personal question. If u r bombarding them with those questions, (which of course gonna put them on the defensive), I doubt any woman would wanna date you. Women prefer smooth, easygoing conversation to be honest...
In fact I would love to see if you can win a date with Gaijin ....
MI namjua B wa ukweli..............humjui NN eeeh Noname...
Mamushkaaaaa! Apologise to Napoleo!MI namjua B wa ukweli..............
Mamushkaaaaa! Apologise to Napoleo!
Kakague! Kale kakitu ketu leo kamekubali bana!hahaaa leo utavaa ile boshori afu umkunjie ngumi kamanda fazal hahaaa lol!!!
'chako ni chako' man.......shemeji yangu simjui ila namfahamu!!!!
Kakague! Kale kakitu ketu leo kamekubali bana!
BTW hebu nipe tofauti ya kumjua na kumfahamu mtu.
MI namjua B wa ukweli..............
Makubwa! Gimme a break! UNAMJUA NN? au Leo nimevaa miwani tena ya Chrispin!!!