Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,080
- 136,559
Nataka kuanzisha shindano la akina dada - Win a date with Ngabu. Wadau mnasemaje....
Halo halo halo.I wish kama ningekuwa mdada ningeshiriki kwenye hili shindano..Shindano linahusu nini?likoje?
Nataka kuanzisha shindano la akina dada - Win a date with Ngabu. Wadau mnasemaje....
U r becoming approved these days Ngabu-man!
Watalazimika kufanyaje au kuwa na vigezo gani ili washinde date na wewe?
ngumu kupata mwenye sifa zote hapo shem, sasa sema angalau nifikishe sifa ngapi hapo ndo naweza kutuna maombi nikafikiriwa?
Heheheee.... haya sasa. We unataka date wa nini wakati ulishasema kwamba huwezi kuwa na partner?
Heheheee.... haya sasa. We unataka date wa nini wakati ulishasema kwamba huwezi kuwa na partner?
Ulisema huwezi kuwa na partner bwana... ngoja niitafute hiyo thread nitaileta hapa fasta. gimme 10 mins
Ulisema huwezi kuwa na partner bwana... ngoja niitafute hiyo thread nitaileta hapa fasta. gimme 10 mins
Kwa hisia zangu naona mamangu FL kashapita. Ila best wengine wake za watu nkikuta unadundwa napita ka sijawahi kukuona!Baadhi ya sifa nmezitaja hapo juu na naongeza nyingine hapa.
Wanatakiwa wawe na
-Uwezo mzuri wa kujieleza
-Kujua kuandika bila makosa ya herufi
-Wajue kuzungumza Kiswahili fasaha na sanifu (Kiingereza kitafikiriwa pia)
-Wawe wenye upendo, ucheshi, na msingi mzuri wa maadili