Ladies mkuje hapa tuseme jambo

Nifah

JF-Expert Member
Feb 12, 2014
26,613
2,000
Hili jambo nilikuwa najadili na cousin yangu akaniambia “Mama kuna baridi la uzeeni ujue “

Tokea hapo akili ikakaa sawa.
Mambo ya uke wenza ni ubinafsi tu wa wanaume, kwanini haikubaliki mwanamke kuwa na wanaume wawili kama hivyo na wakaheshimiana?
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
10,593

Wanaume wajinga ndio hawakubali. Mie naona poa tuu wacha mwanamke nae aonje ladha tofauti tofauti tuu.
 
Toffy_boy

JF-Expert Member
Aug 9, 2020
240
500
Hili jambo nilikuwa najadili na cousin yangu akaniambia “Mama kuna baridi la uzeeni ujue “

Tokea hapo akili ikakaa sawa.
Mambo ya uke wenza ni ubinafsi tu wa wanaume, kwanini haikubaliki mwanamke kuwa na wanaume wawili kama hivyo na wakaheshimiana?
Assume mwanamke huyo kapata mimba. Hakuna mwanaume mzembe ataekubali huyo mtoto
 
Toffy_boy

JF-Expert Member
Aug 9, 2020
240
500
Hili jambo nilikuwa najadili na cousin yangu akaniambia “Mama kuna baridi la uzeeni ujue “

Tokea hapo akili ikakaa sawa.
Mambo ya uke wenza ni ubinafsi tu wa wanaume, kwanini haikubaliki mwanamke kuwa na wanaume wawili kama hivyo na wakaheshimiana?
Kwa mfano akipata mimba nan atakubali kizembe kuwa baba
Angalia wengi ambao baba zao wanakataa watoto wanawake wanadankidanki huku na kule
Polygamy inakubalika ukitumia logic
 
Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
5,258
2,000
Hili jambo nilikuwa najadili na cousin yangu akaniambia “Mama kuna baridi la uzeeni ujue “

Tokea hapo akili ikakaa sawa.
Mambo ya uke wenza ni ubinafsi tu wa wanaume, kwanini haikubaliki mwanamke kuwa na wanaume wawili kama hivyo na wakaheshimiana?
Samahani Dada nifa Mimi SI mkongwe kwenye JF Kama wewe...ila kunasehemu nilipita sijui wapi....kunamtu alikusifia sana kuwa mahusiano yenu ni muruah kabisa...
.
Je mmeshafunga ndoa..najua hayanihusu Ila Ni Nauliza TU Dada..
 
Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
5,258
2,000
Hili jambo nilikuwa najadili na cousin yangu akaniambia “Mama kuna baridi la uzeeni ujue “

Tokea hapo akili ikakaa sawa.
Mambo ya uke wenza ni ubinafsi tu wa wanaume, kwanini haikubaliki mwanamke kuwa na wanaume wawili kama hivyo na wakaheshimiana?
Dada Nifah Maumbile TU... Mwanamke eti Ni dhaifu... Mwanamke Ni wakiwa chini ya mwanaume .. mwanamke Ni wakumilikiwa..
 
pisi jacky

Member
Oct 21, 2020
30
150
Hili jambo nilikuwa najadili na cousin yangu akaniambia “Mama kuna baridi la uzeeni ujue “

Tokea hapo akili ikakaa sawa.
Mambo ya uke wenza ni ubinafsi tu wa wanaume, kwanini haikubaliki mwanamke kuwa na wanaume wawili kama hivyo na wakaheshimiana?
Unamaanisha?
 
mbongo_halisi

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
5,166
2,000
Mwanamme anayekuwa na wake zaidi ya mmoja ni fuska, period. Anatumia dini as kigezo na utashangaa mwanamme huyo huyo anakuwa na wanawake wawili lakini pia anamiliki na nyumba ndogo.
 
Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
5,258
2,000
Mwanamme anayekuwa na wake zaidi ya mmoja ni fuska, period. Anatumia dini as kigezo na utashangaa mwanamme huyo huyo anakuwa na wanawake wawili lakini pia anamiliki na nyumba ndogo.
Kwaiyo hao wenye mmke mmoja ndo wasafi na hawana mahawara kibao..

Mimi naamini Mtu akiamua kuifuata Dini Yake viZuri..na akawa na imani atajitahidi kufanya yaliyo mema regardless ya Dini..
 
Maserina

Member
Oct 2, 2020
75
150
Kiukwel kuwa zaid ya mmoja katik ndoa yenye huadirifu wara sio tatzo na hasa ukikuta mume mwenye msimamo ambaye asikilizi upande mmoja, mwenye upendo kwa wote japo kuna sehemu utazidi ila atajitahid kujifcha inakua raha sana yan mtaanza kupendana nyie mliowekwa matara hadi watoto wenu watalithi upendo wenu wanakua wamoja..!!

Shida inakuja kwa wanawake siku hizi mwingine unakuta yuko radhi kumkaribisha mwenzie wasaidiane maisha ila visanga atakavyokuja navyo hadi utajuta kwann ulikubali au kuletewa mwenzio, wanawake wa karne hii baadhi wana roho mbaya mnoooo tunavutia machoni but sio moyoni wengi wamejawa na umimi na ndo maana wengi hawataki kuolewa matara hta ukimletea kwa lazima atkubar kishingo upande tu.
Pia pole kwa yaliyokufka.
 
Sita Sita

JF-Expert Member
Aug 25, 2008
1,360
1,500
Hebu tuendeleee na story ya mtaani kwako. Uke wenza ni hulka ya mwanamke, usiangalie jamii inataka nini cz jamii haijui inataka nini

Ukiolewa ukaachika watakucheka, ukiolewa mke wa tatu watakucheka, mume akiwa na hela ila mzee watakucheka, akiwa kijana watasema atakusumbua, akiwa dini tofauti watasema, akiwa mtafutaji hakai nyumbani watakusema.

Mind your own business,
 
Ze last Born

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
1,514
2,000
Hili jambo nilikuwa najadili na cousin yangu akaniambia “Mama kuna baridi la uzeeni ujue “

Tokea hapo akili ikakaa sawa.
Mambo ya uke wenza ni ubinafsi tu wa wanaume, kwanini haikubaliki mwanamke kuwa na wanaume wawili kama hivyo na wakaheshimiana?
Hahaha!!...hio haiwezekani duniani kote maana mwanaume ameumbwa kumiliki na mwanamke ameumbwa kumilikiwa...mmiliki anabaki kuwa mmoja tu ila wamilikiwa wanaweza kuwa hata mia!
 
mkabasia

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
2,120
2,000
Binafsi sijawai penda ndoa za mitara,sitakaa nizipende.Sitaki kuwa mke wa pili.Mume awe wangu Tu.Huko kwingine aende Tu kisiri atakua mwenyewe lakini wa halali nibaki kua Mimi Tu.Uke wenza Una Mambo mengi Sana.
 
Yna2

JF-Expert Member
Aug 18, 2018
22,146
2,000
As long as Kuna uadilifu hakuna shida kabisa.

Heri mjuane mpo hata wanne wa halal kuliko uaminishwe upo mmoja kumbe Kuna wanawake wanakuchora tu nje huko ukipita
Wanawake wanne...Jamani Mimi hapana
 
jkipaji

JF-Expert Member
Sep 22, 2019
1,216
2,000
Hili jambo nilikuwa najadili na cousin yangu akaniambia “Mama kuna baridi la uzeeni ujue “

Tokea hapo akili ikakaa sawa.
Mambo ya uke wenza ni ubinafsi tu wa wanaume, kwanini haikubaliki mwanamke kuwa na wanaume wawili kama hivyo na wakaheshimiana?
Sasa ukipata Mimba utampa Mwanaume yupi!? Au utajua aliyekujaza ni Mwanaume yupi Kati ya hao wawili!?
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
32,574
2,000
Mapokeo ya waliotutangulia ndio tatizo, Christian tumeaminishwa na wazungu hatutakiwi kushare,kitu ambacho hakina uhalisia kwenye jamii zetu.... personally naona Bora kushare Kama waislam mnajuana,mnaheshimiana,watoto wanafahamiana fresh, kuliko huku kwetu kwenye Christianity kumejaa unafik mijitu inacheeeeeat utasema imelogwa,....kimbembe msibani watoto haooo
Hii ni hatua nzuri, Pisi 4 za ukweli unajivinjari tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom