Ladies mkuje hapa tuseme jambo

Ladies mkuje hapa tuseme jambo

KUNA FAIDA NYINGI MNO AMBAZO WENGI WETU HATUZIFAHAMU WANAWAKE WANAZIPATA KWENYE NDOA YA MKE ZAIDI YA MMOJA...

LAITI MNGEJUA FAIDA HIZI AKINA DADA MNGELILIA HIZI NDOA...
 
Mimi Sioni shida kabisa ...mume kuwa na wake wawili au zaidi..lakini afanye uadilifu ..Kama Ni zamu iwe sawasawa na mtunzo pia..

Inawezekana anampenda mmoja zaidi lakini anatakiwa atendee wote sawa.

Sio mtu Anaoa bimdogo anahamia huko miezi sita..Si sawa.

Hivi umeolewa?
 
Mapokeo ya waliotutangulia ndio tatizo, Christian tumeaminishwa na wazungu hatutakiwi kushare,kitu ambacho hakina uhalisia kwenye jamii zetu.... personally naona Bora kushare Kama waislam mnajuana,mnaheshimiana,watoto wanafahamiana fresh, kuliko huku kwetu kwenye Christianity kumejaa unafik mijitu inacheeeeeat utasema imelogwa,....kimbembe msibani watoto haooo
Si kila Mkristo ni Mkristo
 
Can you share big bom yako ww ulambe na mwingne alambe
 
Hili jambo nilikuwa najadili na cousin yangu akaniambia “Mama kuna baridi la uzeeni ujue “
[emoji38][emoji38][emoji38]
Tokea hapo akili ikakaa sawa.
Mambo ya uke wenza ni ubinafsi tu wa wanaume, kwanini haikubaliki mwanamke kuwa na wanaume wawili kama hivyo na wakaheshimiana?
Mke akiwa na wake wawili anakuwa kama mtu Sasa leo anaenda kwa mume huyu kesho yule anapata mimba haijulikan ya mume gani? Mke ana siku zake zile anatakiwa kupumzika.! Imagine ana mimba atalelewa kwa mume wa kwanza au wapili?? Kanuni tu za kimaumbile hqzikubaliani na jambo hilo.Mungu Hadi anaruhusu kwa mume kuoa zaidi ya mmoja anajua
 
Mimi Sioni shida kabisa . Mume kuwa na wake wawili au zaidi..lakini afanye uadilifu ..Kama Ni zamu iwe sawasawa na mtunzo pia..

Inawezekana anampenda mmoja zaidi lakini anatakiwa atendee wote sawa.

Sio mtu Anaoa bimdogo anahamia huko miezi sita..Si sawa.
Moyo mmoja,unapenda mmoja..waliobaki wanatamaniwa tu.

-Mshika mawili,moja humponyoka.

NB.wewe unaweza penda wanaume wawili kwa upendo uliosawia?

Kama huwezi ,basi aliyekubali kuwa mchepuko au mke wa 2,asilaumiwe
 
Mwenyezi Mungu karuhusu ...mwenyezi Mungu katuumba anajua kilichobora kwetu.
 
Tangu kuumbwa kwa Ulimwengu na viumbe pale Bustani ya Eden alikuwa Adam na mke wake mmoja tu Hawa au Eva hivyo ndivyo inavyompendeza Mungu siku zote!
Kwamba ndoa iwe ya mume mmoja na mke mmoja kuzidi hapo ni ubatili mtupu na kujilisha upepo!
 
Kwaiyo hao wenye mmke mmoja ndo wasafi na hawana mahawara kibao..

Mimi naamini Mtu akiamua kuifuata Dini Yake viZuri..na akawa na imani atajitahidi kufanya yaliyo mema regardless ya Dini..
Siku zote mwanamme mwenye wanawake wawili au zaidi ni fuska, nimerepeat hiyo....kama huamini chunguza. Dini has nothing to do na ufuska wa mtu ila ninachosema ni kwamba wanaume wengi wa dizaini hii, wanatumia dini as kigezo ili wafanye ufuska wao kwa kuoa wake wengi na uacha baada ya kula uroda kisha anakwenda halalisha mwingine amchezee pia.
 
Swala la kushare mume ni watu huwa wanapretend tu kuwa wapo sawa lakini nikuambie kitu mioyo ya watu kwenye kupenda haipo sawa,, lazima kutakuwa na chuki ambazo kwa upande mwingine ni vigumu kutambua mpaka ukae na muhusika pembeni tena yawe mazungumzo mareeewfu huku unamnywesha na konyagi.
 
Siku zote mwanamme mwenye wanawake wawili au zaidi ni fuska, nimerepeat hiyo....kama huamini chunguza. Dini has nothing to do na ufuska wa mtu ila ninachosema ni kwamba wanaume wengi wa dizaini hii, wanatumia dini as kigezo ili wafanye ufuska wao kwa kuoa wake wengi na uacha baada ya kula uroda kisha anakwenda halalisha mwingine amchezee pia.
Mtu kuwa mfusika Sio kuoa wanawake wengi Mkuu...Kuna wanaume wa ndoa za kanisani na wanafanya huo ufuska Sana Sana Sana...

Mtu akiamua kufanya ufuska haijalishi anawake wanne au mmoja? Atafanya TU.
 
Mtu kuwa mfusika Sio kuoa wanawake wengi Mkuu...Kuna wanaume wa ndoa za kanisani na wanafanya huo ufuska Sana Sana Sana...

Mtu akiamua kufanya ufuska haijalishi anawake wanne au mmoja? Atafanya TU.
Hivi unaelewa unajibu nini? Ufusaka ni hulka ya mtu ila mwanamme mwenye wake zaidi ya mmoja huyo ni automatic fuska asiye na dawa. Kumbuka, kabla hajaoa mke wa pili tayari alikuwa na mahusiano naye, na hufanya hivyo kila anapoacha mwanamke kutafuta mwingine.
 
Mh...naona tuna mitazomo Tofauti...I rest my case
 
Mapokeo ya waliotutangulia ndio tatizo, Christian tumeaminishwa na wazungu hatutakiwi kushare,kitu ambacho hakina uhalisia kwenye jamii zetu. personally naona Bora kushare Kama waislam mnajuana,mnaheshimiana,watoto wanafahamiana fresh, kuliko huku kwetu kwenye Christianity kumejaa unafik mijitu inacheeeeeat utasema imelogwa,....kimbembe msibani watoto haooo
Kama hujaolewa njoo. Cheap kwa fasta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom