Ladies listen, kuna wakati tunacheza show chini ya kiwango ili msitung'ang'anie

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Sep 25, 2014
2,880
4,883
Si vibaya wakati unakwenda kazini asubuhi hii ukaenda na sindano hii, japo chungu lakini ni dawa.

Pamekuwa na malalamiko ya muda mrefu nowadays wadada wakilama kwamba wanaume wanacheza chini ya kiwango kitendo ambacho wadada hawaridhiki kabisa.

Labda tu niwambie siri hii ambayo pengine tunaijua wanaume peke yetu. Iko hivi show zingine tunacheza chini ya kiwango ili msitung'ang'anie sana, maana najua nikikupa show kisawasawa hubanduki utanisumbua wakati mimi sina mpango na wewe......

Show za ukweli huwa tunatoa kwa watu wachache tena wa maana ambao unajua huyu anastahili show maana ninamuhitaji. Na wadada wa aina hiyo hawalalamiki maana wanapata dozi kisawasawa, wanaolalamika ni hawa tunaopita na kusepa tu..

Nawakaumbusha tena ukiona umepewa show chini ya kiwango ujue ni makusudi maana sina mpango na wewe.

Niongeze sauti au niache hapo hapo mmesikia? Nauliza niongeze sauti?
 
Hehehe hamuishiwi, mara mseme hamuwezi kupiga show ya kibabe halafu na hela mtoe, mara mlalamikie mabwawa, lakini watu wanaojifanya wanatibu matatizo ya nguvu za kiume wanapiga hela sana. You guys are trying so hard ili tatizo lenu liwe la kwetu, tufanye ni kweli usemayo vipi walioko ndoani? Na kwa wake zenu mnapiga na kusepa?
 
Mwanamke ukimpiga miti kisawasawa inamchukua walau siku kadhaa hadi kule kwa chini kupoe na kuwashwa kupelekea kuhitaji kukung'utwa mkuyenge tena, wakati huo me unapata wasaa mzuri wa mwili kujiandaa kwa kipigo kingine heavy.

NB; show za kibabe huwa si za kila siku ni za msimu tu vinginevyo vizazi vyao vitasogezwa mno!

Cc mama mchungaji
 
Back
Top Bottom