Picha hapo juu ni ya movie inaitwa "The Da Vinci Code" ambaye main actor anaitwa Tom Hanks (anayeonekana kwenye cover hapo)
Ukiiangalia hii movie utakubaliana na mimi kuwa T. Hanks ameitendea haki hii movie na ameiact vyema.
Kwa kuiangalia movie hii hutakuwa na makosa kummwagia sifa lukuki Hanks kwa uchezaji wake.
That is until utakapokuja kugundua kuwa movie hii imetokana na kitabu cha Da Vinci Code ambacho mwandishi wake ni Dan Brown ambaye kiuhalisia (licha ya Tom Hanks kuicheza vizuri movie hiyo) ndiye aliyestahili sifa lukuki kwa kuandika kitabu chenye ubora wa namna hiyo.
My point is, beware, si kila script unayoiona uka-conclude ni movie script. Some (and actually just one) are the original writings by the authors. It just hapenned ulianza kuangalia movie kabla ya kusoma kitabu.
Men are liars..but not all. Just as there are so many actors and very few say directors or book writers. Na hili linahitaji wisdom from above kuling'amua sio ujanja wa mjini au experience mia...la sivyo ungekuta kina lara 1 wana ndoa miaka kumi saivi (no pun intended).
Kwani wenzangu hamjaamkaga tu?the day i learnt 'men are liars' nimekuwa na amani sana...and i hardly waste an hour in pain for one..
na we kabisa unajua siku hatari na bado unajitegesha,??no matter what always take care of yourself,
Madam hujapatikana vizuri bado wewe. Nyie wanawake mkipendaga hamuoni kitu na mnasahau kila kitu, mwanamke anapewa mimba ya kwanza, anatoa na kuapa hatarudia tena.... akishapona akiombwa tena anatoa kama kawaida na anapata tena nyingine.