Ladies Its Time To Propose!!!!! Pop the Question YourSelf

I call it culture clash!! this is westernization or modernization?! any way, all in all u better becarefull for men.
 
lara 1 nimechekaaaa mbavu sina lol.

To me sipotezi muda kijinga lol.. Ntakuuliza daily hadi iwe kero na mwishowe ntajua mbivu zipi.

Kama huna mpango najipanga kivyangu lol.

Na nikikuacha sikuachi bure alaaaaaaaaaa.. Ntakufungia kwa sala ati. . Unawezaje kucheza na muda na feeling za mtu namna hii?????

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kwa miaka hii,naunga mkono kwa wadada kutongoza hata kupropose

wanaume wasiotaka kuingia kwenye ndoa au kuchelewa ni wengi za mashosti wanaolengesha mimba moja halafu hawataki ndoa
 
msije kichwa kichwa kwa wanaume mtaonekana malaya!! wangapi watawaelewa?! not soo fast laidies!! "changanya na zako"!!
Stamina.. Nafikiri kama msichana yuko kwa mahusiano na mwenzi wake kwa muda fulani hivi let's say 2-3 years. Na kila kitu kinakwenda sawa.. Kama ni committment let's say za masomo mmemaliza, kazi mmepata. Mko kitaa sasa kila mtu ana kazi.

Jamaa kakaaa kimya kama kala shubiri.. N mind u uko commited balaa hata simu yako ikiita macho yanamtoka, ukiwa mbali nae anapiga simu hadi ukiwa toilet lol (yani kakung'ang'ania haswaaaa)

Damn meeeeen .. Ntamuliza tena kinaga ubaga lol ..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Nimetoka nae mbali zinawamalizaga watu si utani! Hadi atapoonyeshwa sawa tumtoka mbali ila tumefika tulikokuwa tunakwenda!!!!!!!!

Duuuuuu kama najiona ntakavyolia iiii iiiiiiiiiiiiiii na kwikwi juu! Daa .. Yasikukute hii isikie kwenye radio lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwanza ishu ya huyu bidada naona kuna scenarios zifuatazo:

kwanza hayuko sharp kumsoma partner wake....6 years are too many, kuweza kumsoma mwanaume na kujua unaposition gani katika future life yake

ndani ya miaka 6 yeye kama mwanamke angeweza kupata mtoto na jamaa kama angetaka, so tungekuwa tunaongelea situation ya mtu na mzazi mwenzie( kutegesha mimba)....labda kama mmoja kati yao ana matatizo ya uzazi

hajiamini, ana elimu na anajiweza kiuchumi lakini hayo hayajaweza kumkomboa kifikra....ni mtu ambaye hana confidence ya kufanya maamuzi magumu ya maisha, pia yuko dependend kihisia

nini afanye so far:

a-move on....though its tough but she has to do so.....

atafute smone apate mtoto ajiwekee security ya maisha ya uzeeni

kama anajiona yuko so attached to the guy atafute goli la ushindi la dk za nyongeza....ategeshe mimba kwa jamaa, men are men hawawezi kataa game ya kirafiki so aombe mechi ya kufunga mahesabu na ajizolee ushindi wake....hata kama hatomwoa atakuwa anajoconsole na mtoto
 
nakubaliana nawe kwenye bold, uko na mtu for 6 years unashindwa kuelewa tu kama anakupenda na kuhitaji kuwa nawe?? kweli gals we differ!!!!
Marriage is a battleground not a joke at all.A men needs to love you and want to be with you .Marriage needs a lot of sacrifice and perseverance .
 
Neggirl sijakataa kumuuliza Bf wake but lazima amsome yukoje!! na utakaaje na mtu miaka sita?! eti anampenda?! siamini!!
 
Kwanza approaching, pili between 2yrs muwe mnapanga mikakati ya ndoa(UCHUMBA)!! ikipata 3yrs kaa chonjo!! sio 6yrs!!
 
Nicole "eti atafute someone apate mtoto ajiwekee security ya uzeeni" ushauri mwingine bwana!! "CHANGANYA NA AKILI ZAKO"!
 
huu ni ushauri ama trash?tehetehe no wonder kuna tofauti kati ya mwanaume na mvulana
Nicole "eti atafute someone apate mtoto ajiwekee security ya uzeeni" ushauri mwingine bwana!! "CHANGANYA NA AKILI ZAKO"!
 
Ushauri huu wa NICOLE ni wakukurupuka!! nani kamdanganya siku hizi kuzaa na mwanaume ndio NDOA?! Thubutuuuuu!!
 
Kweli wewe kubwa lao, mbona we mwenyewe unamyayusha mshkaji mwaka wa 3 sasa mshkaji anasotea jibu, unamzingua tu ,kwani sisi hATUJUI
 
lara 1, mabinti wa hivi wananikera sana. Unakaa miaka sita na mtu ukisubiri nini?

Kwa mtu anayejitambua hata miaka 2 ni mingi sana.

Halafu tatizo jingine la wadada wa kileo ni kutoa full menu unconditionally!

Hii mbinu ya kubanabana yaweza kusaidia, ila ina walakini!
Kuwa na ndoa ya kulazimishana (kwa kubana ili aone umuhimu wa kuoa) yaweza ku'backfire' wakishakua ndani ya ndoa yenyewe....hasa mme akija kuelewa kwamba hakua anamhitaji huyu huyu!
Namuunga mkono lara 1 kwenye kuulizia kuhusu mustakali wa uhusiano mapema....japo mwanamke ajue kwamba yupo kwenye fikra za kuwa mke! Baada ya hapa ndipo mbinu ya kubana inakua na maana.
 
Last edited by a moderator:
Nilichotaka kusema nimeona nitatoka nje ya mada.
"
Kwangu mimi,from the first day namwaga mistari kwa mwanamke lazima nimwambie gari tunalopanda linaenda wapi
"
Watanzania hatukulelewa kufanya mambo kwa malengo ndo maana unafanya jambo kwa muda mrefu bila kujua hasa unataka iweje baada ya muda upi
"
Kwenye mahusiano ni boro from day one mkajua hasa mnapoenda kuishia ili mjue na kuweka malengo.Kuwa wawazi ni vyema ili kama hakuna ndoa hili lifahamike kwa uwazi ili during safari anaweza kutokea ambae anataka umuoe au akuoe na ukapata ndoa
"
Kuweka malengöi jambo jema!
 
Hujaniambia tunapokwenda mbona?

 
asante broda.

Hivi kwani, wanawake wao wako tayari tu kuolewa na kila mwanaume watokaye naye?

Manake taswira ninayoipata hapa ni kana kwamba wanawake wao ni wa kusema ndiyo tu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…