Kweli mungu anaumba kwa mfano wake...
Niliona kwenye TV dada mmoja anapasua matikiti-maji kwa mitindi kama hiyo. Kumbe sometimes inaweza kuwa silaha kwa vibaka wanaokwapua mikoba ya kina dada, akimpampa moja la uso lazima aende chini.
Kweli mungu anaumba kwa mfano wake...