Duh Boflo si mchezo aisee wakati nasoma pale IFM nimecheza sana unawafahamu kina makampuni si muchezo ila hiyo kitu ufcheze kwa leasur tu usifanye ndio mpango mzima wa kumake.
Pata maarifa zaidi ya kuwapiga hapa...
https://www.jamiiforums.com/sports/88354-nisaidieni-niache-kucheza-kamari-sports-betting.html
Umeona mkuu?...
Tatizo la wana Jf. 30% washamba, 40% ni walokole
najua hakuna asiyemfahamu mzee makampuni kama wewe ni mzee wa kubett, tatizo hapa bongo washamba wengi wakati mbele hadi makocha na wachezaji wanabet hadi na viongozi wajuu.
anyway, mwana mie nahtaji kuwa member sinaweza bila kupitia pale kwenye tawi lao new africa?