Hahahahahah kivurige wa bia huyoNilikuwa na rafiki yangu manka nikitaka kumkomesha mwanaume nambeba anakunywa bia hata creti 7
Na wewe Mwanachama?Hatutaki mchezo na pombe kabisa.
Haswaaaa.Na wewe Mwanachama?
Hii kunywa pombe kwa mrija niliiona Uganda. Wanaita malooMoshi hawanywi pombe na mirija. Jaribu kuwa mkweli tu ndugu.
Karibu sanaHaswaaaa.
Hii umeamua kuwazalilisha watu wa moshi,,,eti ww nan mchungaji ndo mlikua sober,,, huna lolote ww utakua una chuki na wachaga,maana kuna watu wa kanda ya flan wakiongozwa nq kiongoz flan wamekua wana chukia wachaga,, kwanz kudhibitisha sio wachaga hao maana wachaga hawana utamadun wa kutumia mirija kunywa pombe... Ww ni mzandik ,muongo ,mfitini,mnafik,mchonganish na MTU usiye faa kuigwaWakuu leo tulikuwa tunazika Moshi kiboriloni, yaani wakati wa misa nikashangaa kanisa zima linanuka pombe, wakati wa kuzika nilipata tabu sana kumwona mtu ambae alikuwa sober labda mimi na mchungaji na mwinjilisti, vijana ndiyo usiseme wote walikuwa bwaksi.
View attachment 866424View attachment 866425
Wakuu leo tulikuwa tunazika Moshi kiboriloni, yaani wakati wa misa nikashangaa kanisa zima linanuka pombe, wakati wa kuzika nilipata tabu sana kumwona mtu ambae alikuwa sober labda mimi na mchungaji na mwinjilisti, vijana ndiyo usiseme wote walikuwa bwaksi.
Huu ni uongo kiwango cha lami nalengo sijui ni nini?
Angalia Picha ya mwisho kwa Mchaga yoyote na Anaye wafahamu huwa wanakunywa kwa kutumia hiyo midude?
Binafsi nafahamu hizi Picha utakuwa umeokota Mikoaya Mbeya au Rukwa hasa Sumbawanga.