I see! sijui hata nianzie wapi...nime-date na mabinti wengi sana enzi za ujana wangu. mtaani, shuleni, ofisini etc. whether ni mzungu, mweusi or Asian..wote nimepitia tena kwa kishindo. kuna mmoja tulizinguana akasema kuwa lazima aniroge....nikarudisha relationship na akasahau mambo ya kuniroga. sadly, simba akimla pundamilia...jamii yote ya pundamilia wanamlaani simba kwa ukatili....though hawahesabu meteke ya punda aliyompiga simba....vivyo hivyo, na sisi wanaume tuna makovu ila useme tu tuna mioyo migumu kama Farao