Laana: shirika la usagaji la taifa

Laana: shirika la usagaji la taifa

Nduka

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2008
Posts
8,552
Reaction score
2,388
Yaani taifa hili limefikia hapa, tumeanzisha kabisa shirika la taifa kwa ajili ya uchafu huu, laana ya usagaji italitafuna taifa hii. Tuungane kupinga uwepo wa National Milling Coorporation.
 
Mimi nilielewa ni National Milling Company......kumbe ni hao Wapumbavu.
 
Ila Wanawake wengi walikua wanafaidi huduma za hawa wasagaji kwa bei nafuu
 
Ila Wanawake wengi walikua wanafaidi huduma za hawa wasagaji kwa bei nafuu

Yaani ina maana rahisi Nyerere akishauriana waziri mkuu Edward Moringe Sokoine wakaamua kuhalalisha usagaji nchini na kuanzisha shirika la usagaji?
 
Back
Top Bottom