katumika kisiasa... mwenye 106 years anamjuaje ngeleja??
i dont like ufedhuli lakini siasa ikizidi balaa
katumika kisiasa... mwenye 106 years anamjuaje ngeleja??
i dont like ufedhuli lakini siasa ikizidi balaa
No, yule Bibi sio chizi anaelewa anachokisema! She is right na docs zote anazo! yule ni mfano mdogo wa waTZ wengi, nakumbuka sana sana mwaka juzi Mama yangu alivyoporwa Nyumba kule kijijini kwetu na kupewa kwa mtu mwingine ambaye wala hakua mtumishi wa serikali! Duniani kuna mambo jamani
Ndugu wana JF nilikuwa naangalia news hapa kweli nime shake .Yule mama wa miaka 106 kutoka Geita hadi Dar kutafuta haki tena hana nauli kwa kuomba lift .Kamtaja Ngeleja, Kamtaja Kafumu, na wengine .Katishiwa maisha , kaporwa eneo lake la madini na nij urithi.Kweli laana iko CCM na serikali yetu .Yule mama akahamie wapi afanye nini ? Jamaniu nyie mnasemaje ? Mmemuona mama analia hadharani ITV ?
katumika kisiasa... mwenye 106 years anamjuaje ngeleja??
i dont like ufedhuli lakini siasa ikizidi balaa
katumika kisiasa... mwenye 106 years anamjuaje ngeleja??
i dont like ufedhuli lakini siasa ikizidi balaa
Wazee kama hawa waliodhulumiwa wapo wengi sana. Amemtaja kafumu kama mtu hatari aliyemtisha atamweka ndani akija Dar.
katumika kisiasa... mwenye 106 years anamjuaje ngeleja??
i dont like ufedhuli lakini siasa ikizidi balaa
speak for justice and avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)Hamna dhulma hapo, haman anaemiliki kilicho chini ya Ardhi wala huwezi kukirithi. Yeye chake ni cha juu ya ardhi. Huyo bibi akajipumzikie hao wanaomtumia kisiasa ndio wanaomdhulumu na ndio wenye laana.