Laana kubwa imeikumba CCM nzima kwa dhuluma kubwa kwa watu masikini -Umemuona Bi.Mwajuma Ramadhani?

Mkuu utakuwa umesahau unakumbuka ile laana ya familia yenu ambayo inawasumbua kila siku kibaya zaidi aliyewalaani hayupo tena.

Kinyume chake ni nyerere aliwalaani na sasa hayupo.maitarahamwe mbugi waizi wazinzi kapuya na yule mzee wa msitu wa wanawake
 
Kuua tembo, Escrw 200bln, richmond, uswis acount, balali, rada, Iptl, jazia na wewe jangili wa lumumba kazi kuwata mbowe, lema, Dr slaa na kupagawa na CHADEMA njaa itakuua wewe
 
-nina nukuu kauli ya baba wa taifa j.k nyerere. "kama kuna watawala wanadhani katiba haitungwi na wananchi basi hao watawala ni wapumbavu!" -je,c.c.m ni wapumbavu, kwa kukataa rasimu iliyobeba maoni yetu wanyonge?. Naomba jibu.
Mkuu CCM siyo wapumbavu bali ni manyani,hawana utu hata chembe,si unaona hata michango yao JF ni ya kitaahira taahira tu, hawajibu hoja badala yake wanashambulia watu.
 
Ni chama kikongwe nchini na africa pia lakini ukongwe wake inaonekana kimezeeka kwa kila kitu kuanzia mwili,akili hadi utendaji kazi.
-kina lea mafisadi,kina samehe matajiri kodi,kina viongozi wa bovu wanao wazia watauibiaje umma kwaajili ya matumbo yao.
-siyo cha wafanyakazi na wakulima tena,bali ni cha mabwanyenye na mafisadi.
-hakina dira kwa sasa wala mwelekeo,kinaendeshwa kwa matukio ya kupanga na kuhonga wapinzani wenye uchu na rupia kwa kushirikiana na uwt,policcem ili kudhoofisha upinzani japo hili wameshindwa kwa chama fulani makini kiitwacho chadema.
-chama kisichojali na kuthamini maoni na matakwa ya wanyonge na raia wake (katiba).
Kauli mbiu ilitolewa sasa imekuwa kinyume ni maisha mabaya kwa kila mtanzania.
"nauliza kina laana ya nani maana kina wafaszili wauza madawa ya kulevya,majangili, ,mafisadi,wahujumu,na viongozi legelege?
=je wamevunja miiko ya uongozi ya baba wa taifa julius k.nyerere au ni wao wenyewe wamejilaani kwa maovu yao wayatendayo?
:nauliza tu,naomba kujibiwa!
Ni mimi.
Ukitegemea kufadhiliwa basi we ndio una laana kubwa.
Wenzio wana faidika na hali nzuri ya uwekezaji wewe umekalia kulia lia na kulala mlango wazi.
Hiyo ndo laana yenyewe.
Anzisha mradi wako na fanya kazi kijana, si kupiga domo usiku wa manane kwa kutegemea kuna chama kitakutia manoti mfukoni, dunia hii wanao faidi nchi ni wake wanao jituma.
 
Kila kijana wa lumumba ananishambulia mimi hawa nipi majibu sasa hii si ndiyo laana yenyewe wakuu?
Nauliza tu!
 
Mtu kama nape na mwigulu enzi za mwalumu wangeweza kupewa hata nafasi ya kuwa vitongoji?
Naomba jibu wana c .c.m !
 
Lete ushaidi wapi imeandikwa ccm kwamba tuna laana wewe ngedere. Na pili lete ushaidi wapi tumemzulumu huyo mama hapo nitakuelewa
 
Back
Top Bottom