Nafukua makaburi kakalaana ni dhana .za kufikiRica zaidi kuliko uhalisia....
Njoo intelligence ipo pia kule kidogo imechambuliwaMkuu huu uzi nilikuwa nasubiri uchambuzi wako.
fukua....
[emoji144] [emoji144] [emoji15] [emoji115] [emoji106] [emoji817] [emoji779] [emoji781]fukua....
Amini hivyo hivyo unavyo amini, kamtukane baba yako mzazi halafu ulete mrejesho hapahakuna kitu kama icho.........laana, ila nachofahamu mm mawazo yako mwenyewe ndio chanzo cha iyo inayoitwa laana, kiuhalisia hakuna laana
bro naomba nipe mfano ata mmja wa mtu wa america au ulaya aliyepata laana kwa kutomueshimu mzaz wak, mkuu akili yako ndo kila kitu ukitumia vbaya tu bas umejiumiza mwenyweAmini hivyo hivyo unavyo amini, kamtukane baba yako mzazi halafu ulete mrejesho hapa
Sent using Jamii Forums mobile app