Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,892
Kinachoendelea Dili ya Clement Mzize Kuelekea ESPERANCE SPORTIVE DE TUNIS ni Masikitiko Makubwa.👀👀
Dili ya Clement Mzize Kwenda Esperance Sportive de Tunis Linakaribia Kabisa Kuota Mbawa
Yanga Africa walitaka USD Milioni Moja Kama Kuna timu Inataka huduma ya Mzize,Esperance wakaleta hii OFA chapu kwa haraka.
Yanga Africa Wakaomba waandae Mkataba wa Mauziano ya Mchezaji,Esperance wakasema hakuna neno
Yanga Africa wakatuma Esperance huo Mkataba wa Mauziano.
Esperance wakawajibu Yanga Africa Agosti 12,2025 Lakini wakaomba baadhi ya vipengele viwili Kubadilishwa
Yanga Africa wakukubali Lakini wakawaambia Esperance wasubiri Kwasababu siku hiyo walikuwa bize na Harambee ya CCM.
Yanga Africa wamebaki Kimya tangu Agosti 12,2025 Mpaka Leo Agosti 19,2025.
Rais wa Esperance,Hamdi Meddeb amekasirishwa na Hali hiyo na tayari wanatazama Machaguo Mengine ili Kukimbizana na Kufungwa Dirisha la Usajili
Kumbuka Mchezaji ameshakubaliana Maslahi Binafsi na Esperance Sportive de Tunis.
Clement Mzize anakufa moyoni,anataka Kwenda Kucheza timu namba 3 Kwa Ubora kwa Viwango vya CAF. Na Mabingwa wa Champions League Mara 4.
Mshahara wa Mwaka wa Kwanza ni USD350k (🇹🇿Milioni Mia tisa,Laki Saba na hamsini)
Mshahara Mwaka wa Pili wa Mkataba ni USD450 ( 🇹🇿BILIONI moja ,Milioni Mia moja Sitini na Sita laki tisa na tisini)
Kuna Bonasi Clementinho akifunga Goli 10 au Assits 10 ni USD25k (🇹🇿 Milioni Sitini na tano )
Clementinho akicheza 60% ya Mechi za Esperance Kuna bonus ya USD20k ( 🇹🇿Milioni hamsini na moja ,Lakini nane na Sitini na tisa na ushee)
Yanga Africa inaonekana hawataki tena Kumuuza Clement Mzize baada ya Kukataa Kwenda ile Ligi ya Wakulima Qatar na wameanza Kumshawishi na Mshahara wa Milioni Arobaini kwa Mwezi unatajwa.
Esperance Mshahara wao Kwa Mwezi ni Milioni Sabini na Nane Kwa Mwaka wa Kwanza na Milioni Tisini na Saba Mwaka wa Pili .
Jaribu Kuwa Clement Mzize Kwa hivi sasa,Viatu vyake vinakutosha?
Hapa naona Kabisa Kuna Dalili ya Sakata la Alexander Isak na Newcastle United au Ademola Lookman na Atalanta.
-
Toa maoni yako