La Mbowe limewashinda,la CAG mtaliweza wapi enyi wanafiki?!

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Huu sasa ni ujinga kama si uzwazwa!

Mda huu jambo ambalo mlipaswa kuonyesha kwa nguvu na namna hasa ya kudhihilisha matamko na nia zenu ni la kumpambania Mbowe atoke huko aliko.

Ajabu na kudhihilisha umburula wenu eti vile mulivyotuaminisha kwamba Mbowe kwa jasho na damu baada tu ya usiku wa mkesha wa tarehe moja mtaanza kuipambania demokrasia na wafungwa wa kisiasa lkn wapi!

Leo Assad ndiyo Mbowe?Leo CAG ndiyo mfungwa wa kisiasa!?

Narejea tena kauli yangu nyinyi hamna lolote zaidi ya kuwa watu wa mikumbo na vi-tukio!Bado sana katika kuyaishi na kuyaheshimu maazimio yenu.KIFUPI,NYINYI NI WAOGA ZAIDI YA KUNGURU!

Haya Mbowe endelea kupambana na hali yako wenziyo huku wako na Assad..hahahahaha!
 
Magufuli na yeye ataswekwa ndani kama anavyomfanyia mbowe maana ufisadi wake ni zaidi ya maraisi wote tangu uhuru ripoti zinaonyesha ubadhirifu mkubwa 1.5 trillion kala anafanyia nini huyu ni hatari sana kwa usalama wa nchi
 
Magufuli na yeye ataswekwa ndani kama anavyomfanyia mbowe maana ufisadi wake ni zaidi ya maraisi wote tangu uhuru ripoti zinaonyesha ubadhirifu mkubwa 1.5 anafanyia nini huyu ni hatari sana kwa usalama wa nchi
Ndiye Rais wa JMT na AMRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA!
 
Ndiye Rais wa JMT na AMRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA!
Asiyefaa anafirisi hata jeshi very irrelevant person haelewi hata maana ya kuwa amiri jeshi mkuu muulize hela za jeshi alizochukuwa kujengea ukuta karudisha magari yamelala kwenye korosho karibu 70 hayafanyi kazi katoa pesa za operation nafasi imempwaya wizi mtupu
 
Asiyefaa anafirisi hata jeshi very irrelevant person haelewi hata maana ya kuwa amiri jeshi mkuu muulize hela za jeshi alizochukuwa kujengea ukuta arudishe magari yamelala kwenye korosho katibu 70 hayafanyi kazi katoa pesa za operation nafasi imempwaya wazi mtupu
Bado ndiye!
 
Magufuli na yeye ataswekwa ndani kama anavyomfanyia mbowe maana ufisadi wake ni zaidi ya maraisi wote tangu uhuru ripoti zinaonyesha ubadhirifu mkubwa 1.5 trillion kala anafanyia nini huyu ni hatari sana kwa usalama wa nchi

Tangia lini Raisi wa JMTZ akawekwa ndani? Labda mpindue Serikali lkn nani atakubali kupinduliwa na KLM?
 
Mungu atufumbue akili zetu kwa kweli, maana binadamu wengine tunaishi kama vile Mungu alisahau kutuwekea akili halafu akatuleta duniani mwishoe tunahangaika tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangia lini Raisi wa JMTZ akawekwa ndani? Labda mpindue Serikali lkn nani atakubali kupinduliwa na KLM?
Ha ha ndio anacholingia kwamba hata see kwa ndani a some historian na historian inaishi mafisadi kama yeye walifanywaje kwa hiyo wasukuma wezi wakubwa ndio watanzania kuliko wengine Satan
 
Ha ha ndio anacholingia kwamba hata see kwa ndani a some historian na historian inaishi mafisadi kama yeye walifanywaje kwa hiyo wasukuma wezi wakubwa ndio watanzania kuliko wengine Satan

Umeshaenda kumjulia hali Mbowe huko Mahabusu asubuhi lkn?
 
Back
Top Bottom