La maana la Kikwete ni lipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

La maana la Kikwete ni lipi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Piere. Fm, Mar 12, 2011.

 1. Piere. Fm

  Piere. Fm JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,194
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Naombeni mnisaidie jaman ni jambo gani ambalo Kikwete kalifanya katika awamu yake ya kwaza ambalo litakufanya wewe kama Mtz umkumbuke Rais wako huko mbeleni?
   
 2. N

  Nonda JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  mkuu
  Umekusudia jambo lenye manufaa au tija? Au jambo lolote tu japo la kuudhi au lenye kuumiza umma?
   
 3. U

  Uswe JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Uteuzi wa Mkuu wa wilaya ya MANYONI!
   
 4. m

  maselef JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani Dodoma na Manyoni siku hizi ni karibu na barabara ni ya lami. Mtu kufanya kazi Manyoni na kupumzika Dodoma ni rahisi sana
   
 5. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,374
  Likes Received: 3,211
  Trophy Points: 280
  Pamoja na udhaifu wake katika kuchukua maamuzi na kuendekeza urafiki katika uendeshaji wa serikali, lakini nitamkumbuka kuwa yeye si dikteta kama Mkapa. Enzi ya Mkapa ukiisema serikali mabaya yake basi utatangazwa wewe si raia, mwulizeni J. Ulimwengu na Mzee mmoja kule Zanzabar (RIP) nimemsahau jina lake, walipata joto yake
   
 6. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kumteua makamba kuwa katibu mkuu wa ccm. Kwa kweli hilo ndilo jambo jema alilowatendea watanzania ambalo kamwe hatutalisahau.
   
 7. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  umelisahau la kumteua Sophia Simba aka .................
   
 8. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ooohhh, nadhani alimsahau bahati mbaya tu. Hata mpayukaji tambwe hiza msije mkamsahau nae.
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Ngoja nifikirie.
   
Loading...