SILLENT KILLER 2
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 418
- 714
Leo ndugu zanguni nimesikitika sana kutokumuona member mwenzetu MIN-ME.
Maana leo kila post nayopita hakuna comment wala like yake imenisikisha sana leo
Au sijui kazidiwa na majukumu au mgonjwa au kuna mtu wake wa kalibu labda anaumwa cjui tu.
Maana huwaga kuna muungano wa watu..
Lakin sijui wenzangu mnalionaje hili [USER=797737]Seran dosho12 ngara23 win-one hata wewe Red black kutokumuona jamaa inakuumi9a kichwa..