VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 8,170
- 12,801
Hahaha oya nikiangalia hii picha nacheka sana
Hahaha oya nikiangalia hii picha nacheka sana
Ichukue mkuu 😅😅😅Hahaha oya nikiangalia hii picha nacheka sana
Naipenda sana quora digest ina madini balaa🙌🏾Acha mazoea mbona yupo online reddit now!!!
Tatizo mnakaza shingo jamii forums kila siku... Jaribuni forums nyingine kubwa duniani ili kupata mawazo tofauti...nenda reddit,nairaland,Steam,Github,quora...
Ila min-me nimemwacha online reddit
Hii kitu nimefanya sana mwezi huu napita kimyakimyaYupo unajua sometimes mtu anaamua kusoma tu bila kucomment wala reaction yoyote
Nimeshaiweka kwenye Screen hahahaIchukue mkuu 😅😅😅
Picha tafadhaliNimeshaiweka kwenye Screen hahaha
Hahaha nimecheka sanaPicha tafadhali
Ushavuta bangi eti?Hahaha nimecheka sana
Hahaha hii sio kweli, natumia hapa lie detectorAcha mazoea mbona yupo online reddit now!!!
Tatizo mnakaza shingo jamii forums kila siku... Jaribuni forums nyingine kubwa duniani ili kupata mawazo tofauti...nenda reddit,nairaland,Steam,Github,quora...
Ila MIN-me nimemwacha online reddit
Hahaha leo kwani vipi Mama la Mama kunani?Ushavuta bangi eti?
Sio kweli!!!Hahaha hii sio kweli, natumia hapa lie detector
Screenshot hio redditSio kweli!!!
Ukweli ni upi?
Leo nina kisirani pro max, sijui kwanini hujichanganyi kwenye 18 zangu😏Hahaha leo kwani vipi Mama la Mama kunani?
Mimba ishaanza kuchangamka au bado ni changa?Leo nina kisirani pro max, sijui kwanini hujichanganyi kwenye 18 zangu😏
Hapana alilewa sana , ila Leo ALIKUWA na safari ya kibosho lwao tla kusini hukp 😊Leo ndugu zanguni nimesikitika sana kutokumuona member mwenzetu MIN-ME.
Maana leo kila post nayopita hakuna comment wala like yake imenisikisha sana leo
Au sijui kazidiwa na majukumu au mgonjwa au kuna mtu wake wa kalibu labda anaumwa cjui tu.
Maana huwaga kuna muungano wa watu..
Lakin sijui wenzangu mnalionaje hili [USER=797737]Seran dosho12 ngara23 win-one hata wewe Red black kutokumuona jamaa inakuumi9a kichwa..
Ndio ina week mbili sasa acha tuMimba ishaanza kuchangamka au bado ni changa?
Me siziwezi league mkuu,umri niliofikia siwez mashindano ila kama unatumia reddit nenda kasearch hii username halafu rudi hapa na screenshot yako ndo ubishe...Screenshot hio reddit