La Jirani Zuri Zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

La Jirani Zuri Zaidi

Discussion in 'Jamii Photos' started by Amavubi, Sep 24, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  269160_3746436784112_1411537580_n.jpg
  Basi la Gor Mahia, Jirani zetu Kenya, wadhamini wao ni Tusker nadhani
   
 2. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  579699_230785023714457_1088791889_n.jpg
  Basi la SSC ikidhaminiwa na TBL
   
 3. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  598763_230785310381095_1353299647_n.jpg
  la yanga linatofautiana na la simba kwa rangi tu
   
 4. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  mY TAKE: LA WENZETU ZURI ZAIDI
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Yutong hizo.
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  nimeicheki mechi yao jmosi kati ya gor mahia na afc leopards ilikuwa ni kiboko mpira wa kasi sana tofauti na huu wa kwetu gor mahia walishinda mbili kwa kamoja. Naikumbuka gor mahia ya miaka ya katikati ya themanini wakiwemo akina bob ogola, mbongo abas hamis magongo walikuwa wakinitesa sana kila mara wakiichapa Yanga!
   
 7. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  ndiyo maana tunakimbilia Kenya kutafuta wazee kama akina Ochieng...........lakini wao hawangaiki na sisi, sisi maneno zaidi wao vitendo hata kwenye fly over tayari wko juu sana..
   
 8. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  unamaanisha kwa RANGI, INJINI au MUUNDO?
   
 9. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  ubora na zaidi sana huenda muonekano...............chema chajiuza tehe tehe ........
   
Loading...