Z Zero 2 Hero JF-Expert Member Joined Dec 16, 2012 Posts 649 Reaction score 1,461 Jul 22, 2017 #1 Wakuu natafuta tamthilia ya kihispaniola iitwayo la esclava blanca ama the white slave kwa kiingereza. Kwa yeyote mwenye soft copy ama maujanja ya kudownload naomba anisaidie. Kwa sasa ni episode ya kwanza tu inayopatikana youtube Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu natafuta tamthilia ya kihispaniola iitwayo la esclava blanca ama the white slave kwa kiingereza. Kwa yeyote mwenye soft copy ama maujanja ya kudownload naomba anisaidie. Kwa sasa ni episode ya kwanza tu inayopatikana youtube Sent using Jamii Forums mobile app