Pompoo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 362
- 41
acha kutafutiza sababu wewe..ungekuwa mtu wa kupata div 1 ungepata tu!!
Unaijua Rungwe/Tukuyu? Unaijua Isyonje? Unaijua Ngumburu? Isongole je? Kule kuna wakati joto linakua -ve. Sasa imagine mtu aliyezoea hali ya pwani halafu akae chumba hakina madirisha!! Tena Bila sweta afanye mtihani.. Sijitetei bali nimeipa 0.09% Hii sababu