Kyela Kimenuka. Lowassa amfutilia mbali Mwakyembe

Kyela Kimenuka. Lowassa amfutilia mbali Mwakyembe

Acheni tu ccm ife maana hakuna namna!lets say rip ccm!
 
Just curious - mbona Mh Mbowe hayuko jimboni kwake kupiga kampeni ya ubunge? Au anajiamini kiasi kwamba haitaji kupiga kampeni!
 
Ha ha ha nakumbuka lowasa na tido lowassa anaulizwa unalichukuaje hil janga la richmond??

Baba wa watu akajibu nawaachia HISTORIA iwahukum!!!,!!!!

daaah LOWASSA NAKUPENDA MNOOO
 
Hana ubavu huo; si alisema majina mengine ameyaficha ili kulinda nchi: mwakyembe anajua richmond ni ya baba riziwemu
 
Nadhani huu ndio mda mwafaka kwa mwakembe kueleza Yale ambayo alibakisha kwenye ripoti ya richmondi.
 
Mwakyembe amewakosea nini Wana-Kyela? Kwa nini hamjamuunga mkono kwa vitendo kama Mbunge wenu aliyeandaa report ya Richmond na kuuaminisha umma kuwa ana ushahidi Lowassa kuhusika? I mean, kwa nini mmehudhuria mkutano wa Lowassa kwa wingi hivi, au amewakosea nini jamani??
 
Ikulu ataisikia tu mwacheni ajaze watu kwa Pete yake ya Freemason lakini ikulu ileeeee
 
Kyela tunayoijua haina watu kiasi hicho, hii picha ni either photo shop au hiyo ni somba somba from mbeya, tukuyu na kiwira.
 
Mambo mengine tuyakubali...tuache ubishi na ushabiki usio na maana...Hivi umati huo hapo juu...bila ya lori..basi la kuwasomba watu...Utalinganisha na CCM Inayotembea na wasanii 30...plus malori na mabasi...anyway ngoja tusubiri 25/10/2015;ukweli utajulikana...
 
Kyela leo jioni. Laigwanan wa kimasai afuta jina Mwakyembe mjini Kyela. Mafuriko ni kama kawaida yake

attachment.php


attachment.php


attachment.php
 
Ikulu ataisikia tu mwacheni ajaze watu kwa Pete yake ya Freemason lakini ikulu ileeeee

Yaani hapo ndipo ukomo wako wa kufikiri umegota. Pete inawezaje kujaza watu kwenye mikutano? Mbona Magufuli naye anajaza watu, au naye anayo pete?
Elimu, Elimu, Elimu.
 
Leo nimetoka kuhakiki jina langu kituoni.

Kitambulisho nimetoka kukifanyia service.

Tarehe 25 nitakuwa wa kwanza kituoni.
 
Back
Top Bottom