Kyela Kimenuka. Lowassa amfutilia mbali Mwakyembe

Kyela Kimenuka. Lowassa amfutilia mbali Mwakyembe

Hakika mkono wa kuume wa Mungu uko pamoja na UKAWA na Lowassa.Ufalme wa ccm umefetikanika hakuna namna ya kuendelea kutufisadi.October 25 itakuwa kumbukumbu ya ukombozi kwa vizazi vyetu vya kesho
 
Ikulu ataisikia tu mwacheni ajaze watu kwa Pete yake ya Freemason lakini ikulu ileeeee
attachment.php
 
muda ni mali

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Nani achague majizi chadema

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom