amilyroley
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 621
- 1,200
Kila la kheri ukawa. Mwondoeni huyu nduli ccm
Mwakyembe ajiandae Kisaikolojia.
Fukia kabisa jina mwakiembe.
Mwakyembe anatoa mimacho tu
Futa kabisa hatakiwi asikike huyu jamaa ameniudhi sana
Umenifurahisha sana bwana Mkubwa. NDULI CCM!Kila la kheri ukawa. Mwondoeni huyu nduli ccm