Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,634
Sidhani. Huyu Masoud Masoud mi toka nianze kumsikia anaitwa hivyo tu huyo labda atakuwa mwingine
basi utakuwa umechanganya desa!
Masoud Maulid vs Masoud Masoud!
Sidhani. Huyu Masoud Masoud mi toka nianze kumsikia anaitwa hivyo tu huyo labda atakuwa mwingine
Poleni sana Kyela
basi utakuwa umechanganya desa!
Masoud Maulid vs Masoud Masoud!
Huyu lecturer wa richmondi matokeo vipiiii huko Kyela???
Huyu lecturer wa richmondi matokeo vipiiii huko Kyela???
Pengine jamaa alishaahidiwa uwaziri sasa anaona unamponyoka hivihivi! Mbona sisi tusio ma Dr., wabunge wala mawaziri maisha yanasonga tu! Doctor (PhD) anaona bila Ubunge maisha yatakuwa tabu!!!
"like"
Hata wanafunzi watakuwa na mashaka maana anaweza asubuhi akafundisha 2+2=4 alafu lecture ya jioni ikawa 22!
huyu mheshimiwa si ndiye alikuwa anatufundisha demokrasia, sasa inakuwaje hataki kusaini!?
Nafikiri vyuo vyetu vifute kozi zote alafu kwa miaka 10 wafanye utafiti kujua kama Watanzania/Afrika tuna kasoro!
LIKE"like"
Hata wanafunzi watakuwa na mashaka maana anaweza asubuhi akafundisha 2+2=4 alafu lecture ya jioni ikawa 22!
Huyu lecturer wa richmondi matokeo vipiiii huko Kyela???
Imeniuma sana kusikia lecturer wa richmondi kashinda......maaanina wakimtangaza maalim,Hahahaaaaa