KY gel kwenye mkoba wa Mpenzi wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KY gel kwenye mkoba wa Mpenzi wangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Retreat, Nov 14, 2011.

 1. R

  Retreat JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hii mada iliishawahi kuwekwa humu lakini sijui ni jukwaa gani ila niliiona ni kawaida tu, sasa yamenikuta mimi ndio nimeshtuka na kuona sio ya kawaida. Nilikuwa natafuta kitu kwenye mkoba wa mpenzi wangu, hamadi KY Gel tena ipo nusu kwenye mkopa wa mpenzi wangu. Hajui kama nimeiona maana hayupo, ila mkoba wake upo nyumbani kwangu. Nipeni ushauri nianzie wapi kumuuliza ni ya nini hiyo KY Gel?
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  wewe muulize alikuwa anafanyia nini hiyo KY? Nalog off
   
 3. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280  Nomba kuuliza

  Ni mzanzibari ? ama mkazi wa mombasa?? Tigo inahusika hapo..
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  huwa tunatumia KY jelly kutoa rashes kwenye miguu.....
   
 5. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #5
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  jamani mtaona hii mada itakavyochangiwa..................achilia mbali views kama 3789 ivi...na page 18..hehee Cameroon lives in Tanzania

  labda kumjibu dada au kaka.........ayo mafuta huwa yanatumika kulainisha uke/ua kwa ajili ya kupunguza friction during sex.........
   
 6. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #6
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  yahh! sioni cha ajabu,even mmba kichwani ky inatoa
   
 7. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Retreat, retreat, retreat and u shud retreat ASAP..........
   
 8. R

  Retreat JF-Expert Member

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ndo natafuta gia ya kuingilia, maana wakati natafuta hicho kitu ambacho nilikuwa na shida nacho yeye hakuwepo.
   
 9. R

  Retreat JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hapana sio Mzanzibar, ni wa kutoka Kaskazini mkuu.
   
 10. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,171
  Likes Received: 1,256
  Trophy Points: 280
  Mimi natumia KY gel lakini sio kwenye zile issues za Cameroon. Ni kwenye njia ya kawaida kwani inalanisha sehemu nyeti na inaondoa michubuko.

  Kuhusu suala lako, kutakuwa na namna hapo. Inaweza isiwe issue ya Cameroon. Mwite umuulize.

  Watakuwa wanakuchukulia, inaelekea ni mzembe wewe
   
 11. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  dawa iyo,inazuia nywele kukatika
   
 12. R

  Retreat JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkono wa paka, unanifanya nibase kwenye mawazo yako zaidi kuliko ya wadau wengine wanaodai mtandao wa Tigo unahusika. Maana hata nilipojaribu kusoma matumizi yake wameandika kabisa ni kwa ajili ya kulainisha uke, sasa sijui kama kuna matumizi mengine zaidi ya hayo. Ila mtaani watu wengi wanayahusisha na Tigo, hapo ndo moyo unaponidunda.
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  tena hasa ukisuka rasta....
  KY jamani matumizi yake ni mengi sijui kwa nini watu hawajui....
   
 14. R

  Retreat JF-Expert Member

  #14
  Nov 14, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Duh! Bill unaniita mi mzembe tena mkuu. Maneno yako ya mwanzo ni mazuri ila finishing yako umeniua live. Anyway nitafanyia kazi ujumbe wako nisikumind sana kumbe ni suala la kujiangalia upya kama kweli mi ni mzembe au lah! Ila najua mi si mzembe.
   
 15. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #15
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Dume zima unakuwa mwoga si umuulize tu
   
 16. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #16
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Ukiona manyoya ujue kaliwa!!
   
 17. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #17
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  zamani tulikuwa tunauliza mtoto anapatikana wapi au mtu akiwa na mimba inatokaje?Majibu yake yalikuwa tata!
   
 18. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #18
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Matumizi yoyote atayokuwa anatumia, umeyataka - ulifikaje fikaje kwenye mkoba wa mwanamke?
   
 19. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #19
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Kichwani au kule tutokapo?
   
 20. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #20
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,355
  Likes Received: 2,361
  Trophy Points: 280
  Mi nafikili msifu tu kwa kufikisha nusu chupa hii inamanisha anayatumia na yanaumuhimu sana kwa kuwa yanapunguza kwa kiasi kikubwa hatari ya kuambukizwa HIV due to the fact that yanaongeza smoothness ya kuta Za uke na kupunguza msuguano.ILA MKOMALIE AKUAMBIE ANAYATUMIA NA NANI?
   
Loading...