KY gel kwenye mkoba wa Mpenzi wangu

Hii mada iliishawahi kuwekwa humu lakini sijui ni jukwaa gani ila niliiona ni kawaida tu, sasa yamenikuta mimi ndio nimeshtuka na kuona sio ya kawaida. Nilikuwa natafuta kitu kwenye mkoba wa mpenzi wangu, hamadi KY Gel tena ipo nusu kwenye mkopa wa mpenzi wangu. Hajui kama nimeiona maana hayupo, ila mkoba wake upo nyumbani kwangu. Nipeni ushauri nianzie wapi kumuuliza ni ya nini hiyo KY Gel?

Aliyekuambia umchunguze kuku wako nani? haya linywe taratiibu sukumia na bia.
 
Mkuu pole sana, mpaka hapo huna mke tena mkuu. Dawa za mmba ni nyingi sana. Aisee pole sana kamanda, kifupi huna mke tena, Na huyo ukienda naye pemba au mombasa nakuhakikishia hutarudi na mke.

Pole sana mku, duuuuuuuuuuuuuu!
 
Mzee mwenzangu pole sana.

Hakuna uhakika zaidi hapo, amini mkeo wameshamtoa malinda ya kule mahali.

KY ni lubricant spesheli kwa kusaidia kuingiza kitu bila michubuko ( Hata mahospitalini inatumika na iliundwa kwa ajili hiyo) hayo ya kusema kuzuia nywele zisikatike si kweli, kuna dawa za kazi hizo.

Ongea na mama akwambie ukweli, wakati unaongea nae uwe na majibu kichwani, kama unaamua kumsamehe we msamehe tu mwambie asitumie tena mtandao wa bei nafuu maana hata wewe mwenyewe humtumii kwa mtandao huo, kama atasikia ataacha ila kama kazoea sijui kama ataweza kuacha. Kama una moyo mdogo kama wa sungusungu anza maisha mapya tu maana mwenzako si salama tena sehemu iendayo msalani.

Majibu ni dhahiri hapa wala hamna haja ya kujidanganya na kuzuia rasta sijui rashes wala nini
 
Hii mada iliishawahi kuwekwa humu lakini sijui ni jukwaa gani ila niliiona ni kawaida tu, sasa yamenikuta mimi ndio nimeshtuka na kuona sio ya kawaida. Nilikuwa natafuta kitu kwenye mkoba wa mpenzi wangu, hamadi KY Gel tena ipo nusu kwenye mkopa wa mpenzi wangu. Hajui kama nimeiona maana hayupo, ila mkoba wake upo nyumbani kwangu. Nipeni ushauri nianzie wapi kumuuliza ni ya nini hiyo KY Gel?

...huwezi jua bana, anaweza kukwambia "anapigia mswaki" ----joke!
labda alikuwa na appointment na gynecologist bana... hongera!

msipende kuhoji hoji sana mnavyovikuta kwenye mikoba ya wake zenu bana...
 
Inawezekana akawa anatumia kwako bila wewe kujua ndio maana alipokuja kwako alikuwa nayo. How? inawezekana anatatizo la ukavu, so anapokuja kwako kabla ya ku du anakwenda toileti kujilainisha kwanza. Hubu fikiria nyendo zake anapokuja kwako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom