S Samwel0759 Member Joined May 27, 2013 Posts 19 Reaction score 11 Jul 25, 2013 #1 Kweli pesa kitu ingine, hebu muone huyu mchizi: Mtoto baada ya kupata utajiri akamwambia babae "baba. Sema unachotaka nikulipe ili tucjuane tena" baba akamjibu "nipe mkeo nimnyonye maziwa kama ww ulivyomnyonya mke wangu tena miaka mitatu''
Kweli pesa kitu ingine, hebu muone huyu mchizi: Mtoto baada ya kupata utajiri akamwambia babae "baba. Sema unachotaka nikulipe ili tucjuane tena" baba akamjibu "nipe mkeo nimnyonye maziwa kama ww ulivyomnyonya mke wangu tena miaka mitatu''
N NancyM JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 314 Reaction score 40 Jul 26, 2013 #2 Hahaah mzaz halipwi jamani Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums