kitu pekee alichoona mwalimu kwa kipindi kile ni usalama hasa wakoroni tuliowatoa wangeweza kupitia Zanzibar
Na pia alivyokua madarakan mwalimu Zanzibar nilikua kama base ndogo yake katika maswala ya wahanga kupindua nchi
Automatically tuliunda undugu baada ya kuoa bara na visiwani
Apo inakua ngumu, kutengua muungano
Tatizo lipo hapa
Wanzibar wamekua na midomo michafu sana kuaminishwa bara wamekua kama kikwazo kwao katika kuendelea(sijajua nan amewadanganya)
Kitu ambacho wanahitaji wajue hadi hivi sasa ili Zanzibar uhai uendelee wanaihitaji bara zaidi ya wana bara wenyewe