Kwetu ni pazuri, karibuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwetu ni pazuri, karibuni

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Barraza, Nov 12, 2011.

 1. Barraza

  Barraza JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Huu wimbo ni mzuri sana kuusikiliza, kuna mtu aliniambia kuwa asilimia kubwa ya waimbaji wa huu wimbo walifariki kwenye ajali, eti ni kweli?  "Nyumbani kwetu hakuna Masaburi, wala hakuna maleria wala hakuna vyandarua"

  Nawatakia week end njema ndugu zangu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. v

  valid statement JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  kwa wanaoujua huu wimbo... Kwa waloona hapo!
  Wote mtakubali umetulia huu wimbo. Ni mtamu. Hata bar unapigwagwa achilia kwenye basi.
   
 3. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Yani ndio nipo nausikiza hapa!! nadhani ni watatu tu ndio waliokufa kwenye ajali.
   
 4. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hapana waliokufa ni watatu tu wanyarwanda wawili na mtanzania mmoja raia wa kigoma anaitwa amos tafuta cd yao ya nne utawaona
   
 5. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,726
  Likes Received: 3,144
  Trophy Points: 280
  Huu wimbo unafariji sana. Kwaya zetu zingekuwa zina utaratibu wa uimbaji huu watu wengi wangeokolewa.Waimbaji wengi wa muziki wa injili Tz. wamegeuza muziki wa injili ni biashara kelele, mavazi ya ovyo, uchezaji kama wapo baa ni ghasia tupu. Ambassadors for Christ mmbarikiwe sana.
   
 6. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mwezi wa 12 mwaka huu watakuwa mwanza kuna tamasha
   
 7. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pia watakuwa mwanza mwakani kwenye makambi ya kanisa l wasabato kirumba
   
 8. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli kwetu pazuri ila CCM inapaharibu
   
 9. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mafisadi
   
 10. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  inabidi niwepo ili nijitwalie binti mmoja matata!
   
 11. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #11
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  dah! masaburi hayapo vp kuhusiana na mambo ya cameron!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Habdavi

  Habdavi JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  kwa kweli nyimbo zao nazipenda sana. Kuna mwingine unaitwa Ambassador of Christ tunashukuru nao mzuri.
   
 13. Steven Sambali

  Steven Sambali Verified User

  #13
  Nov 12, 2011
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 314
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  BIG X anacheza vizuri sana huu wimbo :) Athante kwa kuuweka Mkuu.
   
 14. v

  valid statement JF-Expert Member

  #14
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  kwetu kwa Mungu tunaongelea hapa.
  Sio hapa 3rd world country tanzania.
   
 15. v

  valid statement JF-Expert Member

  #15
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  kwetu kwa Mungu tunaongelea hapa.
  Sio hapa 3rd world country tanzania.
   
 16. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #16
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  hahahahahaha mkuu nilikuwa nasubiri hoja ya namna hii,
  hao waimbaji wamenipa hamu ya kufika Rwanda lol
   
 17. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #17
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  wenzetu mnafaidi. Nalog off
   
 18. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #18
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,308
  Trophy Points: 280
  Hii Ngoma Imenifanya Nisikilize tokea Jana hadi leo bado nausikiliza tu oi

  Imetulia kuliko Maelezo hata Haijanikera wala kunikera Dah
   
 19. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #19
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Ni kweli wimbo mtamu sana. Ukitaka zingine unaweza kupata kwenye; YOUTUBE- AMBASSADORS OF CHRIST CHOIR; RUMERA SDA CHOIR.
   
 20. driller

  driller JF-Expert Member

  #20
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  asee hawa jamaa hua nawapenda sana.... yani kariakoo siku hizi kila kona unausikia huu wimbo na hua nikiusikia bado ninakua na furaha ile ile yani
   
Loading...