kwetu kuzuri

kwetu kuzuri

4ca94cbe0a5ee61a4b8246fc17462a8a.jpg
 
Mbona sioni nyumba....mnaishije huko?
 
Kwa hapa Tz sehemu kama hizo zote unakuta maasai washaingiza mifugo hicho kijani kingebaki vumbi na mawe tu. #Teamwanamazingira.
 
Kuzuri kusinda mbinguni sithani....maana katika aya za kislamu tunaambiwa wale tutaoingia peponi wanauME tutapewa kila aina ya raha na wanawake sabini wote mavigni mery AND WAZURI KUPITA
 
Kwa hapa Tz sehemu kama hizo zote unakuta maasai washaingiza mifugo hicho kijani kingebaki vumbi na mawe tu. #Teamwanamazingira.

Bado zipo sana ila miundombinu.
Somewhere in Kilosa panaitwa msolwa ni pazuri saana ila unahitaji masaa kumi na moja kutembea kwa miguu kupandisha vilima.

Ukifika manda huko ludewa kuna maeneo mazuri sana pia shida miundombinu. unahitaji kutembea zaidi ya 8hrs kwa miguu.

usiniulize nilienda kutafuta nini.
 
Kuzuri kusinda mbinguni sithani....maana katika aya za kislamu tunaambiwa wale tutaoingia peponi wanauME tutapewa kila aina ya raha na wanawake sabini wote mavigni mery AND WAZURI KUPITA

kwanini mnapenda sana wanawake?
 
Back
Top Bottom