Sisi twazika kesho mkuu,ila kwenye hii misiba ya wezi nimegundua hata ndugu awalii kwa uchungu,sijui kwa nini,wakati ni ajali kazini
wazazi wengi hawana tabia ya kuwashauri watoto wao hata wanaposikia kuwa kijana anabehave vibaya. Matokeo ni kuongezeka kwa vibaka mitaani.Vijana wanapenda maisha maraisi(kitonga)alafu asilimia kubwa jasa wa uswazi,wazazi pia wana wassuport.
Tafuta Mama mzazi wa huyo mwizi uone tena hulia kwa uchungu zaidiSisi twazika kesho mkuu,ila kwenye hii misiba ya wezi nimegundua hata ndugu awalii kwa uchungu,sijui kwa nini,wakati ni ajali kazini
Kulikuwa na haja gani ya kumdhulumu iyo nafsi ya huyo mwizi? Roho mbaya tu. Tanzania kila mtu ni mwizi kwenye nafasi yake. Hata wewe mleta mada ni mwizi vilevile kwenye nafasi yako. Mnafanya vibaya sana mkiwapiga na kuwatesa wezi wenzenu. Kuna sheria za nchi akamatwe apekekwe polisi na Sheria itafuata mkondo wake. Wote nyinyi ni maboriti.Habari wakuu,
Niende kwenye kisa moja kwa moja.
Hapa jirani yangu kuna kijana alikuwa ana jishughulisha na kazi ya wizi,sasa si mnajua siku za mwizi ni 40, sasa jana kaingia sehemu mbaya wakambananisha, akala kichapo heavy hadi kupelekea Kifo
Sasa tukiwa msibani mara kibaka kafanya jaribio la kuiba simu; wazee wakamshitukia, kala kichapo mixer kukatwa mikono
Nb: Wazazi tuwe makini na watoto wetu, maisha au shughuli zisitufanye kusahau majukumu ya malezi ya watoto wetu.
Kulikuwa na haja gani ya kumdhulumu iyo nafsi ya huyo mwizi? Roho mbaya tu. Tanzania kila mtu ni mwizi kwenye nafasi yake. Hata wewe mleta mada ni mwizi vilevile kwenye nafasi yako. Mnafanya vibaya sana mkiwapiga na kuwatesa wezi wenzenu. Kuna sheria za nchi akamatwe apekekwe polisi na Sheria itafuata mkondo wake. Wote nyinyi ni maboriti.
usitufokeee,ndio ashauwawa sasa kwa wizi wake,kwahiyo unasemaje?Kulikuwa na haja gani ya kumdhulumu iyo nafsi ya huyo mwizi? Roho mbaya tu. Tanzania kila mtu ni mwizi kwenye nafasi yake. Hata wewe mleta mada ni mwizi vilevile kwenye nafasi yako. Mnafanya vibaya sana mkiwapiga na kuwatesa wezi wenzenu. Kuna sheria za nchi akamatwe apekekwe polisi na Sheria itafuata mkondo wake. Wote nyinyi ni maboriti.
Roho mbaya tu. Kumbukeni pia huyo mwizi anafamiliausitufokeee,ndio ashauwawa sasa kwa wizi wake,kwahiyo unasemaje?