Kwenye Mitandao ya kijamii, mtu anakuaje verified?

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,092
21,773
Salam wakuu,
Habari za wakti huu? Natumai tuko njema. Going straight to the point:
Kwenye social networks kama instagram,Twitter, Facebook etc. Utakuta kuna hii kitu inaitwa verified accounts. Hizi hua ni akaunti zikizothibitishwa kwamba mtumiaji ndio mtu halisia mwenye hiyo akaunti na mara nyingi hua ni kwa watu maarufu. Kwa mfano nilikua instagram nashangaa kidogo, nikaangalia page ya Vanessa mdee nikakuta iko verified. So, ningependa kufahamu taratibu zinazofanyika hadi a/c ya mtu inakua verified whether wanakupigia simu, kukutumia email etc.
 
Back
Top Bottom