Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,369
- 68,460
Hawa jamaa siwapigii promo, lakini linapokuja suala la matangazo ya kupiga promo huduma zao wako bomba zaidi.
Walitesa sana katika tangazo lao la Mcharo, ambapo walikuwa wanapiga promo kuhusu Airtel mkopo.
Sasa wamekuja na tangazo la Mangi (Ndorooboo), hakika nalo liko poa sana kwa wale waliopata kulisikia wataungana nami.
Ombi langu: Watoe huduma nzuri na bora kama matangazo yao yanavyojinadi.