Kwenye kumfikisha mwanamke kileleni, wanaume wengi tunafeli

Inasikitisha na kushangaza, unakutana na msichana wa miaka 28-30 anakwambia tangu aanze mapenzi akiwa na miaka 19 hakuna mwanaume yoyote amewahi kumfikisha kileleni. Imagine, anafanya mapenzi miaka karibu 10 lakini anatumika yeye tu, amekuwa sugu sasa na kilele pekee anachokijua ni cha Mlima Kilimanjaro, amekata tamaa kama kuna kitu kama hicho duniani.

Ukikutana na mwanamke wa namna hii ili umridhishe inapaswa kwanza uende Gym, ule siagi na jibini, dozi ya karanga na supu ya pweza wiki 2 umkeshee kisawasawa lakini unapaswa pia kumfanyia counselling ili aamini tena kwamba kilele sio Kibo na Mawenzi tu inataka Moyo.

WANAUME: Msiwafanyie hivyo wasichana, wapeni dozi inayostahili, ukipewa chezo kamua haswa, sio unakurupuka tu hueleweki unachofanya ni nini Robo saa unakoroma huo sio uanaume uanaume kazi, mnatupa shida tunakuja kuoa wanawake wamekomaa, hata utumie mwiko kilele hakionekani hata kwa darubini, ukipewa kazi itendee haki kazi kama hujui kukuna nazi waachie wakwezi.Girls wanapata shida sana, halafu we mtaani unajitamba kumbe huna lolote. Its not Fair
Kama toka aanze hajawahi kufika kileleni hicho kilele aamekijuaje sasa?kua hajawahi kukifika.kakudanganya bana.angekua amewahi kufika na baada ya hapo hajafikishwa tena tungemuelewa.ila hajawahi,sasa hicho kilele anakijuaje?muongo bana huyo.we mwambie kilele cha mapenzi alishafikishwa ila kilele cha mlima Kilimanjaro ndo bado hajafika
 
wenye hilo tatizo hebu wajitahidi waondokane nalo....hakuna kazi rahisi lakini kama kumfikisha mwanamke kileleni anaeshindwa kufanya hivyo ni mzembe wa hali ya juu sana
 
Muandae mpenzi wako kisaikolojia atafika tu kileleni,sio lazima ugegede kama unalima mpunga,fore play is very important kumfikisha mwenzi uko kilele cha mt. Kill,..taratibu,
Ofcoz hiyo ni njia bora ya kumfikisha kileleni lakini usikariri mkuu,
kuna wanawake wamegawanyika katika makundi mawili hadi matatu, wapo wanaoenjoy game ya taratibu zile slow motion, na wapo wanaoenjoy mikito ya kwata la kijeda,
sasa kikubwa hapo ni kumsoma huyo dem anapenda nini, na uwe tayari kwa lolote utakalogundua
 
Wanawake wanatofautiana, mmoja aliniambia yeye haitaji mandingo sijui ulimi ili afike, yeye anaitaji vidole tu ili afike kibo na kweli vidole vilitosha, ni ufundi tu na mawasiliano mazuri kati yenu.
 
Ofcoz hiyo ni njia bora ya kumfikisha kileleni lakini usikariri mkuu,
kuna wanawake wamegawanyika katika makundi mawili hadi matatu, wapo wanaoenjoy game ya taratibu zile slow motion, na wapo wanaoenjoy mikito ya kwata la kijeda,
sasa kikubwa hapo ni kumsoma huyo dem anapenda nini, na uwe tayari kwa lolote utakalogundua

Mi nawajua hao wanaotaka migido ya nguvu wananye*e ao sasa ao wako tayari ni kusukuma tu mzizi (kongoro)anafika fasta,..ila nazungumzia wale ambao wanaitaj maandaliz kabla ya kuingia iyo stage ya nye*e nyingi,...waandalie mazingira kwanza,afu piga romance ya kutosha afu ndo upande sasa mpaka kweny mkito bombastic,..piga mpaka usikie mapigo yake ya moyo yanalia kama ngoma,
 
Kama toka aanze hajawahi kufika kileleni hicho kilele aamekijuaje sasa?kua hajawahi kukifika.kakudanganya bana.angekua amewahi kufika na baada ya hapo hajafikishwa tena tungemuelewa.ila hajawahi,sasa hicho kilele anakijuaje?muongo bana huyo.we mwambie kilele cha mapenzi alishafikishwa ila kilele cha mlima Kilimanjaro ndo bado hajafika
Hii kama inamake sense, lakini pia nyuzi za kutofikishwa kileleni bado zinaongezeka kila siku humu, kwahiyo hilo tatizo lipo
 
Back
Top Bottom