Kwenye kumfikisha mwanamke kileleni, wanaume wengi tunafeli

Tatizo liko pande zote usitulaumu cc wa kiume tuu,hebu fikiria mwanamke kaenda tohara kaondolewa zile stimulator zake we unadhan hapo ukienda kichwa kichwa utamuacha kama ulivyomkuta sasa ni lazima kuwepo na ushirikiano mzuri uhakikishe unachezea hyo kitu vzur sana manake nlie nae yeye aliamua kua mkweli kwangu so hua inanichukua ata dk 20 napambana nae ili akojoe ndo na mm nijiachie
 
Kuna wanaume wengine ni washamba atiii,unakuta mtu umejivutia hisia zako na umekaribia kukiona kilele....linauliza etii umemaliza bby,duh stimu yote inakata!
 
Huo ndo mpango mzima mzee,
Na endapo wanaume tutaacha ubishi na kufocus kwenye game za uhakika basi trust me hata migogoro ya kifamilia mingi itapungua, manake baadhi ya mizozo hutulizwa na game za kufa pipo

Hapo nimekuelewa mkuu
 
Iyo kazi ya kumfikisha mwanamke kileleni inahitaj malipo kama ambavyo sisi tunawalipa pale tunapofika kileleni,siwezi kupoteza pesa na nguvu kwa wakati mmoja.
 
Sidhani kama kumridhisha mke lazima uende gym au umduu muda mreefuuu.

Hayo maguvu yenu ndiyo yanawafanya awe sugu.

Kumkojolesha ni mbinu au ufundi siyo nguvu au kukawia kufika.
 
Ofcoz hiyo ni njia bora ya kumfikisha kileleni lakini usikariri mkuu,
kuna wanawake wamegawanyika katika makundi mawili hadi matatu, wapo wanaoenjoy game ya taratibu zile slow motion, na wapo wanaoenjoy mikito ya kwata la kijeda,
sasa kikubwa hapo ni kumsoma huyo dem anapenda nini, na uwe tayari kwa lolote utakalogundua
Uko sahihi sana
 
Kumfikisha mwanamke kileleni inabidi ukaenaye sana sio chini ya mwezi ujue nyege zake ziko wapi na style ipi yy uipenda na ukimshika vp uwa unajiisi laha ivyo ni tendo la takribani miezi lakini kuchukua mda ktk tendo iyo never
Haihitaji zaidi ya nusu saa. Wengine huwa nawakojolesha ndani ya dakika 5 wakiwa bado hawajavua nguo zao na mimi bado nimevaa tena mara ya kwanza kuonana nao.

Yaani wengine nawakojolesha tukiwa bado tunakunywa baa tena hadharani.
 
Acha story za uongo.. Mimi kila Demu niliyetembea naye anafika kwanza yeye kileleni na hata Mara mbili zaidi yangu.. Nakuambia mwanamke ukigusa g spot yake tu hukojoa hapo hapo... Me huwa lazima niguse hiyo sana hadi huwa wanatamani kuning'ata... Tatizo Lao huanza kunipenda kwa kupitiliza na Mimi mapenzi ya kitoto kitoto siwezi mapenzi muda wote
 
Inasikitisha na kushangaza, unakutana na msichana wa miaka 28-30 anakwambia tangu aanze mapenzi akiwa na miaka 19 hakuna mwanaume yoyote amewahi kumfikisha kileleni. Imagine, anafanya mapenzi miaka karibu 10 lakini anatumika yeye tu, amekuwa sugu sasa na kilele pekee anachokijua ni cha Mlima Kilimanjaro, amekata tamaa kama kuna kitu kama hicho duniani.

Ukikutana na mwanamke wa namna hii ili umridhishe inapaswa kwanza uende Gym, ule siagi na jibini, dozi ya karanga na supu ya pweza wiki 2 umkeshee kisawasawa lakini unapaswa pia kumfanyia counselling ili aamini tena kwamba kilele sio Kibo na Mawenzi tu inataka Moyo.

WANAUME: Msiwafanyie hivyo wasichana, wapeni dozi inayostahili, ukipewa chezo kamua haswa, sio unakurupuka tu hueleweki unachofanya ni nini Robo saa unakoroma huo sio uanaume uanaume kazi, mnatupa shida tunakuja kuoa wanawake wamekomaa, hata utumie mwiko kilele hakionekani hata kwa darubini, ukipewa kazi itendee haki kazi kama hujui kukuna nazi waachie wakwezi.Girls wanapata shida sana, halafu we mtaani unajitamba kumbe huna lolote. Its not Fair
Nyie swala la watu wenye vyeti feki naona haliwahusu?
 
Huku ni kuchoshana.nyaani nilipie gesti...nilipie konyagi..nilipie chipsi makange anazokula..nilipie bajaj halafu nimow heraaa bado nihangaike na mambo ya kileleni...ananichosha kwa kweli
 
Jamaa umelalamika kama vile yalikikuta , pole. Tatizo vijana siku hizi chips mayai zinawaharibu
 
Back
Top Bottom