Kwenye kumfikisha mwanamke kileleni, wanaume wengi tunafeli

Inasikitisha na kushangaza, unakutana na msichana wa miaka 28-30 anakwambia tangu aanze mapenzi akiwa na miaka 19 hakuna mwanaume yoyote amewahi kumfikisha kileleni. Imagine, anafanya mapenzi miaka karibu 10 lakini anatumika yeye tu, amekuwa sugu sasa na kilele pekee anachokijua ni cha Mlima Kilimanjaro, amekata tamaa kama kuna kitu kama hicho duniani.

Ukikutana na mwanamke wa namna hii ili umridhishe inapaswa kwanza uende Gym, ule siagi na jibini, dozi ya karanga na supu ya pweza wiki 2 umkeshee kisawasawa lakini unapaswa pia kumfanyia counselling ili aamini tena kwamba kilele sio Kibo na Mawenzi tu inataka Moyo.

WANAUME: Msiwafanyie hivyo wasichana, wapeni dozi inayostahili, ukipewa chezo kamua haswa, sio unakurupuka tu hueleweki unachofanya ni nini Robo saa unakoroma huo sio uanaume uanaume kazi, mnatupa shida tunakuja kuoa wanawake wamekomaa, hata utumie mwiko kilele hakionekani hata kwa darubini, ukipewa kazi itendee haki kazi kama hujui kukuna nazi waachie wakwezi.Girls wanapata shida sana, halafu we mtaani unajitamba kumbe huna lolote. Its not Fair
MKUU ILE DAWA YETU YA JUIS YA TIKITI NA LIMAO HAIMFIKISH...MAANA JUZ NMEKUNYWA NMEPIGA SHOW MATATA MPAKA MTOTO WA WATU HANA HAMU
 
kwa hiyo malighafi na bidhaa ni zipi mkuu, maana hiki kiwanda kina mfumo wa kipekee kabisaa
Wanatoa huduma sio bidhaa............huduma ni kitu kisichoshikika,kisichoonekana,wala huwezi kukihisi,lakini kinasaidia mahitaji ya watu.....
 
Muandae mpenzi wako kisaikolojia atafika tu kileleni,sio lazima ugegede kama unalima mpunga,fore play is very important kumfikisha mwenzi uko kilele cha mt. Kill,..taratibu,
 
MKUU ILE DAWA YETU YA JUIS YA TIKITI NA LIMAO HAIMFIKISH...MAANA JUZ NMEKUNYWA NMEPIGA SHOW MATATA MPAKA MTOTO WA WATU HANA HAMU
Hongera sana mkuu,
sasa ingependeza ukaandika thread ya mrejesho na kuelezea ilivyokuwa ili na wengine nao waweze kuepukana na aibu ya kutokuwatosheleza wanawake
 
Kumfikisha mwanamke kileleni inabidi ukaenaye sana sio chini ya mwezi ujue nyege zake ziko wapi na style ipi yy uipenda na ukimshika vp uwa unajiisi laha ivyo ni tendo la takribani miezi lakini kuchukua mda ktk tendo iyo never
 
Inasikitisha na kushangaza, unakutana na msichana wa miaka 28-30 anakwambia tangu aanze mapenzi akiwa na miaka 19 hakuna mwanaume yoyote amewahi kumfikisha kileleni. Imagine, anafanya mapenzi miaka karibu 10 lakini anatumika yeye tu, amekuwa sugu sasa na kilele pekee anachokijua ni cha Mlima Kilimanjaro, amekata tamaa kama kuna kitu kama hicho duniani.

Ukikutana na mwanamke wa namna hii ili umridhishe inapaswa kwanza uende Gym, ule siagi na jibini, dozi ya karanga na supu ya pweza wiki 2 umkeshee kisawasawa lakini unapaswa pia kumfanyia counselling ili aamini tena kwamba kilele sio Kibo na Mawenzi tu inataka Moyo.

WANAUME: Msiwafanyie hivyo wasichana, wapeni dozi inayostahili, ukipewa chezo kamua haswa, sio unakurupuka tu hueleweki unachofanya ni nini Robo saa unakoroma huo sio uanaume uanaume kazi, mnatupa shida tunakuja kuoa wanawake wamekomaa, hata utumie mwiko kilele hakionekani hata kwa darubini, ukipewa kazi itendee haki kazi kama hujui kukuna nazi waachie wakwezi.Girls wanapata shida sana, halafu we mtaani unajitamba kumbe huna lolote. Its not Fair
Hivi kumbe hili tatizo ni siriazi ishu?nimekutana na wengi wenye tatzo hili nkawa najua labda wananisifia kinafki tu ili nivimbe kichwa kwa kuwafikisha.Tubadilike hii tabia ya kuwarukia wanawake kama kibaiskel cha gym si nzur,maandalizi kwanza then piga mashine ya kutosha
 
Back
Top Bottom