Kwenye kumfikisha mwanamke kileleni, wanaume wengi tunafeli

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,075
17,237
Inasikitisha na kushangaza, unakutana na msichana wa miaka 28-30 anakwambia tangu aanze mapenzi akiwa na miaka 19 hakuna mwanaume yoyote amewahi kumfikisha kileleni. Imagine, anafanya mapenzi miaka karibu 10 lakini anatumika yeye tu, amekuwa sugu sasa na kilele pekee anachokijua ni cha Mlima Kilimanjaro, amekata tamaa kama kuna kitu kama hicho duniani.

Ukikutana na mwanamke wa namna hii ili umridhishe inapaswa kwanza uende Gym, ule siagi na jibini, dozi ya karanga na supu ya pweza wiki 2 umkeshee kisawasawa lakini unapaswa pia kumfanyia counselling ili aamini tena kwamba kilele sio Kibo na Mawenzi tu inataka Moyo.

WANAUME: Msiwafanyie hivyo wasichana, wapeni dozi inayostahili, ukipewa chezo kamua haswa, sio unakurupuka tu hueleweki unachofanya ni nini Robo saa unakoroma huo sio uanaume uanaume kazi, mnatupa shida tunakuja kuoa wanawake wamekomaa, hata utumie mwiko kilele hakionekani hata kwa darubini, ukipewa kazi itendee haki kazi kama hujui kukuna nazi waachie wakwezi.Girls wanapata shida sana, halafu we mtaani unajitamba kumbe huna lolote. Its not Fair
 
Inasikitisha na kushangaza,unakutana na
Msichana wa miaka 28-30 anakwambia tangu
aanze Mapenzi akiwa na Miaka 19 hakuna
Mwanaume yoyote amewahi kumfikisha
kileleni...Imagine,anafanya Mapenzi miaka karibu
10 lakini anatumika yeye tu...
Amekuwa Sugu sasa na kilele pekee anachokijua ni cha Mlima
Kilimanjaro,
amekata tamaa kama kuna kitu kama
hicho duniani..
Ukikutana na mwanamke wa namna hii ili
umridhishe inapaswa kwanza uende Gym,ule Siagi
na jibini,dozi ya karanga na supu ya pweza wiki 2 umkeshee kisawasawa..Lakini unapaswa pia
kumfanyia Counselling ili aamini tena kwamba
kilele sio Kibo na Mawenzi tu...inataka Moyo...
WANAUME:Msiwafanyie hivyo Wasichana,wapeni
dozi inayostahili,ukipewa chezo kamua haswa,sio
unakurupuka tu hueleweki unachofanya ni nini Robo saa unakoroma..Huo sio uanaume..Uanaume
kazi..Mnatupa shida tunakuja kuoa Wanawake
wamekomaa,hata utumie Mwiko kilele hakionekani
hata kwa darubini...
Ukipewa Kazi itendee haki kazi...Kama hujui
kukuna nazi waachie wakwezi...Girls wanapata shida sana,halafu we mtaani unajitamba kumbe
huna lolote..Its not Fair

Mtu kila siku na kila Saa unawaza kutekwa na kutupwa Ununio Mahaba Beach huku Pesa kila uchao zikizidi tu kutoweka mifukoni na matatizo mengine kibao yanayohitaji utatuzi wa haraka utawezeje kudindisha kisawasawa na kumkojolea ki Kilimanjaro ( Kileleni ) Mkeo au Demu wako?
 
tuache kwanza tunawaza viwanda mzee
 
Mtu kila siku na kila Saa unawaza kutekwa na kutupwa Ununio Mahaba Beach huku Pesa kila uchao zikizidi tu kutoweka mifukoni na matatizo mengine kibao yanayohitaji utatuzi wa haraka utawezeje kudindisha kisawasawa na kumkojolea ki Kilimanjaro ( Kileleni ) Mkeo au Demu wako?
Kwani hadi nyinyi lumumba pia mnatekwa?
Alafu kumbe ndomana wanasiasa wengi wanachapiwa wake zao na ma-house boy, kwasababu kama hizo za kuendekeza stress na kukosa muda wa kukaa na familia zao
 
Back
Top Bottom