Kwenye kipindi hiki cha uchaguzi, ujinga ni?

kumshabikia magufuli wakati nyumba yenu iko kwenye hifadhi ya barabara:msela:
 
kuamka asubihi na Kuanza Kuweka hastag za hapa kazi tuu wakati tunajua huna kazi ni mzururaji tuuu
 
Ujinga ni jitu zima bado upo kwenu kwa mama ako afu hujajiandikisha unakaa kubishana siasa na mpira vijiweni wakati hata hujui Tz ilipata lini uhuru na unaishabikia CCM
 
Ujinga ni kushabikia chama 'X' majira ya mchana na kukipigia kura jumapili tar 25, kwakuwa walikupa elfu mbili usiku wa kuamkia jana.
 
Back
Top Bottom