GE2025 Kwenye kampeni za sasa naona sura siyo sera

GE2025 Kwenye kampeni za sasa naona sura siyo sera

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,424
1759462970195.png

Ukiwasikiliza wagombea wetu hasa wa urais ambao ni wa chama kimoja japo wanajionyesha kama wanapingana wakati lao moja, huoni sera zaidi ya sura. Wakiahidi, unashindwa kuelewa kama ni nani kati ya mataahira kati yao na wapiga kura.

Mgombea wa urais anakwambia nitafanya hili au lile bila kuonyesha atalifanyaje. Yupo aliyeahidi kufuga mamba eti kuwala mafisadi wakati mwenye ukimuona ni mtoto wa fisadi wa zamani na unashangaa kama zimo au hamnazo. Kwa habari zaidi, BONYEZA HAPA.

Nafikiri na kuwaza kimya kimya baba yenu.
 
Siasa za Tanzania zimeharibika sana.
 
Back
Top Bottom