Kwenye Jamhuri mengine hayawezekani, Tundu Lissu anafahamu pia

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,531
Ndugu zangu,

Habari hiyo kubwa yaweza kuwa ni ' burudani ya kisiasa' lakini haina uhalisia. Kwenye Jamhuri Rais akishaapishwa ndio ameshakuwa Amiri Jeshi Mkuu.Tundu Lissu anafahamu vema tafsiri ya hilo.

Yawezekana, anaona, kuwa aliyeapishwa si Rais wake, nalo haliwezekani, kama Tundu Lissu atakula kiapo kulitumikia Bunge la Jamhuri, basi, Magufuli naye ni Rais wake, kwa miaka mitano ijayo.

Maana, unaposema Jamhuri haina Rais una maana Jamhuri haina pia Amiri Jeshi Mkuu. Na kwenye Jamhuri ambapo unaweza kusimama na kusema hayo na kurudi nyumbani kwa amani na utulivu, basi, ujue Jamhuri hiyo ina Rais, na hivyo, mfumo wa kidola unaoheshimu haki za raia kujieleza kwa uhuru na hata kulindwa dhidi ya watakaochukizwa na kauli zao.

Ninavyofahamu, na Tundu Lissu anafahamu hivyo, kuwa Rais atahutubia bunge, kuna wabunge wa upinzani watakaoleta rabsha za hapa na pale, na kuna watakaotulia kumsikiliza Rais wa Awamu ya Tano anatoa mwelekeo gani kwa taifa.

Na baada ya hapo maisha ya kisiasa na kijamii yataendelea kwenye 'Jamhuri ya Magufuli'- Magufuli Republic..

Maggid.
 
Huwa unatudharirisha sana wakulima wa kiteto nalima kijungu huwa nikiona bandiko lako lolote naona kinachofata ni utumbo tu.dio lazima uanzishe uzi mkuu
 
Kwa mtindo wa kibabe litafanyika,,lakini kwa akili ya kawaida rais wa muungano anakuwaje halali wakati matokeo ya upande mmoja yamefutwa? Istoshe upande mmoja wa jamhuri haupo kwa mantiki hiyo bunge halijakamilika,,ingekuwa busara asubiri bunge likamilike kwani kuna uharaka gain
 
TUNDU LISU nimwanasheria WA KWENYE VYETI, tena aliniacha hoi kipindi cha kuhojiwa na VOA kuhusu Slaa kiukweli nimemuweka ktk kundi la VILAZA walopokaji kufuata mkumbo wa DJ Mbowe hana lolote
 
Kwa mtindo wa kibabe litafanyika,,lakini kwa akili ya kawaida rais wa muungano anakuwaje halali wakati matokeo ya upande mmoja yamefutwa? Istoshe upande mmoja wa jamhuri haupo kwa mantiki hiyo bunge halijakamilika,,ingekuwa busara asubiri bunge likamilike kwani kuna uharaka gain

Mkuu naomba ufafanuzi wako hivi ata pale arusha tusubiri mbunge wa Arusha apatikane ndio bunge liitwe limekamilika????
 
Tunataka Zanzibar yenye mamlaka kamili.
Kwa nini mtu mmoja anafuta Uchaguzi wote.hakuna sheria inayomruhusu kufanya hivo.
Tusipopewa haki yetu.tutaandamana siku ya Uchaguzi..
Hakutofanika chochote siku hio.
Mutatupiga Risasi.kama milivozoea.....
Mara hii ndio mwisho wenu.lazima kieleweke.
"Zanzibar ni nchi".
 
Tatizo la watanzania sasa hivi kuna vitu viwili wameviweka pembeni, navyo ni LOGIC AND REASONING. Inaniwia vigumu kuwaelewa watu ambao kwa makusudi wanaamua kujitoa ufahamu, hivi ukipika kitimoto ukachanganya na kuku chungu kimoja unaweza ukamkaribisha ndugu yako muislamu aje ale nyama ya kuku wewe akuachie kitimoto na iwe halali kwake? bila shaka muislamu wa kweli hatakubali na wewe unalijua hilo.

Sasa wapiga kura ni walewale, mchakato ni uleule alafu matokeo fulani yanakuwa halali na mengine haramu! Give me a break!!! , This must be Tanzanian way of reasoning!
 
Kingine wanachojisahaulisha ni kuwa hili bunge wanaloliapa limeitishwa na Rais kwa majibu wa katiba ya nchi.

Sasa ajabu wanaapa kwenye bunge lililoitishwa na Rais wasiemtambua, Wanasema matokeo ya Urais ni batili huku ya kwao yaliyopatikana kwenye uchaguzi huohuo ni halali.

Kweli wanasiasa wetu ni wachumia tumbo tu!
 
Ndugu zangu,

Habari hiyo kubwa yaweza kuwa ni ' burudani ya kisiasa' lakini haina uhalisia. Kwenye Jamhuri Rais akishaapishwa ndio ameshakuwa Amiri Jeshi Mkuu.Tundu Lissu anafahamu vema tafsiri ya hilo.

Yawezekana, anaona, kuwa aliyeapishwa si Rais wake, nalo haliwezekani, kama Tundu Lissu atakula kiapo kulitumikia Bunge la Jamhuri, basi, Magufuli naye ni Rais wake, kwa miaka mitano ijayo.

Maana, unaposema Jamhuri haina Rais una maana Jamhuri haina pia Amiri Jeshi Mkuu. Na kwenye Jamhuri ambapo unaweza kusimama na kusema hayo na kurudi nyumbani kwa amani na utulivu, basi, ujue Jamhuri hiyo ina Rais, na hivyo, mfumo wa kidola unaoheshimu haki za raia kujieleza kwa uhuru na hata kulindwa dhidi ya watakaochukizwa na kauli zao.

Ninavyofahamu, na Tundu Lissu anafahamu hivyo, kuwa Rais atahutubia bunge, kuna wabunge wa upinzani watakaoleta rabsha za hapa na pale, na kuna watakaotulia kumsikiliza Rais wa Awamu ya Tano anatoa mwelekeo gani kwa taifa.

Na baada ya hapo maisha ya kisiasa na kijamii yataendelea kwenye 'Jamhuri ya Magufuli'- Magufuli Republic..

Maggid.

Kuapa kuitumikia katiba ndiyo sawa na kumgumikia rais?

Hatukatai Magu ni rais ila wa baadhi ya maCCM.

Atakuwaje wa jamuhuri wakati umefutwa uchaguzi wa upande mmoja wa muungano?

MaCCM buana
 
Mkuu tufafanulie hilo bunge limeitishwa na nani kwa majibu wa katiba mpaka sasa kule Dodoma?
 
Ndugu zangu,

Habari hiyo kubwa yaweza kuwa ni ' burudani ya kisiasa' lakini haina uhalisia. Kwenye Jamhuri Rais akishaapishwa ndio ameshakuwa Amiri Jeshi Mkuu.Tundu Lissu anafahamu vema tafsiri ya hilo.

Yawezekana, anaona, kuwa aliyeapishwa si Rais wake, nalo haliwezekani, kama Tundu Lissu atakula kiapo kulitumikia Bunge la Jamhuri, basi, Magufuli naye ni Rais wake, kwa miaka mitano ijayo.

Maana, unaposema Jamhuri haina Rais una maana Jamhuri haina pia Amiri Jeshi Mkuu. Na kwenye Jamhuri ambapo unaweza kusimama na kusema hayo na kurudi nyumbani kwa amani na utulivu, basi, ujue Jamhuri hiyo ina Rais, na hivyo, mfumo wa kidola unaoheshimu haki za raia kujieleza kwa uhuru na hata kulindwa dhidi ya watakaochukizwa na kauli zao.

Ninavyofahamu, na Tundu Lissu anafahamu hivyo, kuwa Rais atahutubia bunge, kuna wabunge wa upinzani watakaoleta rabsha za hapa na pale, na kuna watakaotulia kumsikiliza Rais wa Awamu ya Tano anatoa mwelekeo gani kwa taifa.

Na baada ya hapo maisha ya kisiasa na kijamii yataendelea kwenye 'Jamhuri ya Magufuli'- Magufuli Republic..

Maggid.

Unalipwa hata hujui kwa kaxi gn kipaumbele cha.kwanza Elim
Cha pili elimu
Tatu elim
 
Hivi kiapo cha mbunge ni cha kuahidi kumtumikia Rais au kuitumikia nchi na kulinda katiba? Kama ni kuilinda katiba acha waape kwanza kisha wailinde kwa kuzuia hotuba ya MTU anayeitwa Rais wa Jamhuri ya MUUNGANO aliye chaguliwa Na kura za upande mmoja na mwingine Agent wa tume iliyomtangaza wakisema kura hazikuwa halali.
Hoja za kisheria zisijibiwe kwa blabla za kisiasa vinginevyo ni kuwadhalilisha Wazanzibari wakati wana haki sawa na bara hata kama ni wachache
 
Kwa mtindo wa kibabe litafanyika,,lakini kwa akili ya kawaida rais wa muungano anakuwaje halali wakati matokeo ya upande mmoja yamefutwa? Istoshe upande mmoja wa jamhuri haupo kwa mantiki hiyo bunge halijakamilika,,ingekuwa busara asubiri bunge likamilike kwani kuna uharaka gain

Kwani nani kakosekana ili bunge kukamilika maana mpaka wale wabunge wa Zanzibar wapo au mpka EDO naye awepo
 
Mkuu naomba ufafanuzi wako hivi ata pale arusha tusubiri mbunge wa Arusha apatikane ndio bunge liitwe limekamilika????

Hiyo id yako ibadilishe jiite "kupe" ili ujitambulishe kuwa una akili fupi kama za kupe.
 
Tatizo la watanzania sasa hivi kuna vitu viwili wameviweka pembeni, navyo ni LOGIC AND REASONING. Inaniwia vigumu kuwaelewa watu ambao kwa makusudi wanaamua kujitoa ufahamu, hivi ukipika kitimoto ukachanganya na kuku chungu kimoja unaweza ukamkaribisha ndugu yako muislamu aje ale nyama ya kuku wewe akuachie kitimoto na iwe halali kwake? bila shaka muislamu wa kweli hatakubali na wewe unalijua hilo.

Sasa wapiga kura ni walewale, mchakato ni uleule alafu matokeo fulani yanakuwa halali na mengine haramu! Give me a break!!! , This must be Tanzanian way of reasoning!

Ndugu zangu..watu walipotaka serikali tatu kwenye rasimu ya katiba ya Warioba wabunge wa CCM wa Bunge lililokua la katiba walipiga sana na kuikanyaga
 
Back
Top Bottom