Anfaal
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 1,154
- 113
- Thread starter
- #21
Kwenye immigration pale naona wamecompromise hasa baada ya Vince Cable kuwa wazi kuwa kuzuia watu kwenda UK kutafanya wataalamu wakosekane.Well said!
Kwenye hii marriage hakuna chochote Conservative walicho compromise in terms of election manifesto policies.Lib Dems become a lame duck kwenye hii marriage kila policy wamefuata za Tory-tution fee , spending cuts,AV systems e.t.c?
Je, Cuf supporters watakumbuka siku ya kupiga kura,their leaders decided to do it for themselves?
Kuna wapiga kura wengi hata hapa jukwaani ukiwauliza sera za uchaguzi za vyama vyao sasa hivi hawakumbuki,kwa sababu wapo busy na 2015 to repeat the same mistake.
Ila tatizo kwetu huwezi kuona kabisa tofauti ya CCM na CUF kule Zenji. Hakuna clear cut ya policy zao na wanaogopa kukosoana hadharani. Yaani Dr Shein kule anaongoza kama mteremko maana hakuna tena upinzani. Kama walivyochangia wengine, Zenji kwao adui ni muungano, wanasahau yapo mengine serikali imewasahaulisha kabisa. Yaani karata iliyochezwa ya udini bara, kwa Zenji ni muungano. Hivi hawana issues kabisa na wote wanasimamia mambo yanayofanana au utendaji umeimarika hauhitaji upinzani?