Kwenye gari,mitandao ya kijamii au kukosea namba?

Kwenye gari,mitandao ya kijamii au kukosea namba?

JEMEDARI .H.

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
341
Reaction score
63
Wana jf mimi huwa najiuliza always kuwa mwanamke mzuri huwa anapatikaje either kukutana nae kwenye gari,kukosea namba au kwenye mitandao ya kijamii(facebook,twitter,jf,nk) kwani nimekuwa nikipata mgogoro binafsi kimawazo juu ya hilo.
 
hamna mwanamke mzuri....nyege ndio zinatufanya tusema mwanamke mzuri.
 
tumia formula hii E=mc^2.....lazima upate solution...
 
Anapatikana kwenye gari na bajaji yaabi wewe ukiona gari au bajaji yoyote fuatilia wanakuwemo mle.
 
Mkuu mambo Eisten photoelectric equation dah unanikumbusha mbali sana
 
Back
Top Bottom